Wakuu Habarini/salaam/Shalom
Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya...
Nimekutana na post muda si mrefu kuhusu Mwijaku, nimefikiria tuanzishe kampeni hii ya kumaliza uchawa nchini na kuondoa viongozi wote ambao hawatufai. kama mtoa mada yule alivyoelekeza;
Kusoma...
Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika;
"Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali...
Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu.
Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi...
Ndio, Kama Taifa litashindwa ku anticipate mabadiliko yajayo ya Kidunia na ambayo yameanza hivi Sasa, basi tutakua Taifa la kijinga kuzidi ujinga wenyewe !!.
Hivi Hawa Vitu maalumu Wana kazi...
Habari zenu wakuu
Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea.
Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo...
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.
weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.
Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa...
Wana lumumba mpogo?
Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?
Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa...
Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa!
Bali...
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi...
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO"
Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia...
Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala
Je, huwa...
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano...
Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu...
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.
Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.