Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini.
chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida...
Kwema Wakuu!
Wapinzani pekee ambao ni maarufu kwa level ya kitaifa ni Freeman Mbowe, Tundu Lisu, Slaa na Zito Kabwe.
Lakini waliobakia hawana umaarufu kwa level ya kitaifa labda kikanda...
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.
Huu ni...
Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma...
Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "upendo" ila...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi...
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
Nathubutu kusema Msigwa ameshindwa kusoma nyakati, hatukatai kwamba CHADEMA hakuna mapungufu lakini sioni kama Matatizo anayoyasema ndio chanzo cha yeye kuhama. Watu wenye macho matatu wanajua ni...
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao.
Lowassa alipokwenda...
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema
Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema
---
"Ni matumaini...
CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao...
Mkoa wa Kusini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambao unapatikana Kusini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar.
Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya...
Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni..
Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea...
Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kaskazini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambayo unapatikana Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar.
Kulingana na Sensa...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Msikilize baba mchungaji, kuna ujumbe wako.
"Kwanini taasisi zinakufa? Kwanini Uchumi unaanguka? Kwanini kutokuzalisha? Ni kwasababu hautumii wenye akili! Namna ambavyo...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata...
Kwa namna ilivyo na kwa namna inavyooneķana, vyama vya upinzani vitakuwa vinaibuka na kupotea kila mara. Yaani vitakuwa vya msimu
CHADEMA miaka ya nyuma kidogo ulikuwa ukiangalia safu ya viongozi...
Taarifa kutoka vyanzo vya Uhakika ndani ya Chadema vinaeleza kwamba, Tayari tarehe ya kujadili rufaa ya Mgombea Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa aliyeshindwa, Peter Msigwa imepangwa.
Inaelezwa kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.