BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM
📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia.
📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia.
📌 Zoezi...
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela amejitokeza hadharani kuzungunzumia tukio la Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni na...
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi...
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa...
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na...
08 May 2024
Mpwapwa, Dodoma
TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI
Source : the chanzo
Ndiyo maana wamekuwa wakali baada...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva...
Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T )
Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema...
Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa
Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi...
Wakuu salaam,
Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge.
Lakini pia baada ya...
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama tawala CCM na pia Vyama vya Upinzani, nimegundua hakuna chama kinachoweza kutuletea mabadiliko ya kweli. Matokeo yake akina Msigwa, Mwita Waitara, Prof...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki...
Usome mwenyewe
---
Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa...
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema...
Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B.
Mkoa...
IGUNGA: "MBUNGE NGASSA KUPIGA KAMBI JIMBONI KWA SIKU THELATHINI"
📌 Kufanya Ziara kwenye Vitongoji vyote vya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Igunga kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi
📌 Kukutana na...
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii...
Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake...
Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar.
Mkoa wa Kaskazini Pemba una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.