Mwaka 2009 Mnyika aliulizwa mipango yake kisiasa, Majibu yake yalikuwa ni kuwa Mbunge kwa vipindi viwili 2010 na 2015 halafu kupumzika ubunge 2020 kwa ajili ya kujiandaa na Urais 2025.
Mnaofikiri...
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu...
CCM Zanzibar imemruka kimanga Naibu Katibu mkuu Dr Mohamed Dimwa aliyesema Kamati maalumu ya CCM Zanzibar imependekeza Rais Mwinyi aongezewe Muda Kutoka miaka 5 hadi 7
Katibu mwenezi CCM Zanzibar...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka...
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani...
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya...
Mwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha
Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la...
Jeshi la Polisi limesema taarifa za kiintelejensia zinaonesha Tarafa ya Ngorongoro si salama sana Kwa sasa hivyo Chadema hawataruhusiwa kufanya mkutano kwenye Operesheni yao itakayoanza kesho...
Katibu wa UVCCM ndugu Jokate amewataka Vijana wa UVCCM kuachana na Uchawa wa kubeba mikoba ya Wagombea nyakati hizi za uchaguzi na badala yake wachukue Fomu na kugombea wao wenyewe
Jokate...
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa...
Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Na WAF – Dodoma
Serikali imeanza kusambaza vitabu vya kliniki vya wajawazito na watoto nchini ambavyo vitasambazwa katika mikoa 26 nchi nzima.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Mama na...
Habari za wakati huu wanajamiiforum?
Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.
Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo
Zaidi soma hapa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya...
Wakuu mko vyede?
Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio...
SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX...
DC KINONDONI: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA ZOTE CHINI YA RAIS SAMIA
Akielezea jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema wamepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.