Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Habari wakuu! Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari...
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu. ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali. Wataalam wa mambo...
8 Reactions
56 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, leo Jumatano Juni 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya majadiliano kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema...
2 Reactions
9 Replies
346 Views
Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika...
0 Reactions
4 Replies
501 Views
Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje...
2 Reactions
8 Replies
642 Views
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi. ======= Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
15 Reactions
134 Replies
6K Views
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi...
22 Reactions
101 Replies
3K Views
Hebu tuangalie halafu tusaidiane Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi...
11 Reactions
210 Replies
6K Views
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi wa Halmashauri). 2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba...
1 Reactions
4 Replies
511 Views
Salaam Wakuu, Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri. Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
1 Reactions
6 Replies
363 Views
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera. Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake. Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua...
6 Reactions
83 Replies
3K Views
Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
20 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom