Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia
Wahusika Wakuu
1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM)
2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha...
Ni kazi kuamini:-
* Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao;
* Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa...
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40.
Dk...
Akisoma Bajeti ya Serikali Bungeni Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba ametoa onyo Kali Kwa Viongozi wa Kisiasa wanaopanda mbegu za chuki, ubaguzi na kuvunja utaifa wa Tanzania kuacha mara Moja...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda, Amesema kuwa ataendelea kupokea na kutekeleza maagizo ya Chama (CCM) kwakuwa chama hicho ni Kikubwa kuliko Serikali.
Source: Habari mpya
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu...
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni
1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea
2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo
3. Bunge kufatiliwa na watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
Wakuu,
Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni...
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema
CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo...
Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu.
Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi...
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe...
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.
Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na...
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.