Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kulikuwa na Nyuzi mfululizo hapa Jf na kwingineko, kwamba umati wa viongozi wa Chadema wangeungana na Mchungaji Msigwa huko CCM, na kwamba umati huo ungejiunga na CCM siku ya kuadhimisha miaka 48...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo amesema serikali haipaswi kulaumiwa kwa ukosefu wa haki kwenye vyombo vya sheria, bali lawama ziende kwa watendaji kwani sheria zipo wazi. Akichangia hoja ya...
0 Reactions
14 Replies
313 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi. Majaliwa...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Alikuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Anaishi Tegeta Dar es salaam Mashariki si Mwingine ni Mwenyekiti Mpya wa Chadema Mh Tundu Antipasi Lisu Kwa namna alivyowashinda mabilionea wa Chadema na...
9 Reactions
16 Replies
665 Views
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote Askofu Mwamakula amesema siyo...
21 Reactions
111 Replies
5K Views
Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Wakuu, heshima kwenu! Moja kwa moja kwenye mada. Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli. Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo...
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Kwema ndugu? Kutokana na kuenea kwa baadhi ya maneno kwamba bwana yule alikuwa mshamba, katili n.k, nikaona acha nitafute ukweli juu ya haya. Nimepitia documentaries nyingi, hapa JF na nje ya JF...
3 Reactions
21 Replies
578 Views
Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili...
6 Reactions
32 Replies
747 Views
Katika siku za hivi karibuni, tasnia ya uandishi wa habari nchini Tanzania inakumbwa na changamoto kubwa inayotishia misingi ya taaluma hii adhimu. Wanahabari, ambao kimsingi wanapaswa kuwa sauti...
4 Reactions
20 Replies
683 Views
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
"Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu...
-7 Reactions
161 Replies
2K Views
Wanabodi Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!. Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone...
0 Reactions
7 Replies
273 Views
kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana...
9 Reactions
29 Replies
986 Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema: "Tunapozungumzia kwenye ajira, Serikali nayo inawaangalia sana wanawake, pale ambapo kunakuwa na ushindani wa mwanamke na mwanaume, basi nafasi ya kwanza...
1 Reactions
6 Replies
299 Views
Wawekezaji kutoka China wakiendelea na shughuli za uwekezaji wa biashara zao Jijini Dar. Pia soma Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji ==== UNAPOTEMBEA katika Mitaa ya Agrey...
19 Reactions
127 Replies
5K Views
Kwa taifa la Tanzania cheo Cha Ubalozi ni cheo kinachotumika kumvunja mtu nguvu Hasa yule anayekuwa anaonesha dalili za kutaka madaraka ya mwenziwe au kupinga live utawala we mwenziwe. Mfano Mh...
1 Reactions
17 Replies
687 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…