KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti...
Kwa mjibu wa matonyaji wangu wa karibu, Rafiki yangu wa siku nyingi sana tangu kuzaliwa CHADEMA wamendelea kujipima na kuona namna gani mugombea wao wa Urais amepokelewa na jamii ya watanzania...
Wapo wana CCM wanaojiamini na ambao hawapo tayari kuendelea kusubiri majina ya mfukoni yanayochakatwa na viongozi wao.
Mkoani Kigoma Jimbo la Kigoma Kaskazini kata ya Kagongo, Mgombea Udiwani...
17 Agosti 2020
Bunda Mjini
Tanzania
ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona.
Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu...
Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi!
Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye...
Katika watia nia wa kugombea urais na walioteuliwana kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao, kwa vyama vilivyo vya dhati vya kuwa na upinzani mkuu katika uchaguzi wa mwaka huu, Chama cha...
Sina kumbukumbu kama kinachoendelea katika kuchakata majina ya wana CCM waliotangaza niya kugombea Ubunge kama kilishawahi kutokea.
Ilivyozoeleka CCM huwa na kalenda zao ambazo zinatangazwa kabla...
Ifuatayo ni mikoa inayombeba mgombea wa CCM kwa kura nyingi ambazo zinaenda kupatia ushindi mkubwa usiotarajiwa na washindani wake kwenye sanduku la kura.
Mikoa hii ni mikoa yenye idadi kubwa ya...
Kwa wake wanaodhani kuwa kudhibiti vyombo vya habari kuripoti habari za wapinzani kutawasaidia, wajue tu wanajidanganya kwani hivi sasa watanzania wengi wanamiliki smartphone hasa maeneo ya...
Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo.
Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea.
Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ni wazi kuwa kama nchi hapa tulipo tukielekea Oct. 28 hatuko vizuri. Kwamba tunawagombea ambao wamejizatiti vilivyo kutokukubali...
Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote...
Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga.
Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya...
TULINGANISHE SERA ZA MAGUFULI, LISU NA MEMBE:
Tukielekea kwenye uchaguzi tumeanza kuona washabiki wakibezana na kuhoji sera za washindani wao. Wapo waliomwambia Lisu kuwa yeye ni kutukana tuu...
Ndugu zangu,
Huku site chuya na mchele zimeanza kujichuja kwani ni dhahiri sana Tundu Lissu anakwenda kuiangusha Chadema kwa kupoteza majimbo na kata ambazo Lowassa alishinda akiwa mgombea urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.