Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani.
Kuna nijadala inaendelea kuwa...
Maganja hawashinda Magufuli na Lissu mbele ya wafugaji, apewa ng'ombe wawili Mihale, Bunda
Leo tarehe 13.08.2020 nikiwa kijiji kwetu Mihale wilaya Bunda mkoa wa Mara. Nimebahati kuzungumza na...
Tafadhali naomba mje kwenye ukurasa huu mnijibu, maana mimi sielewi na siwaelewi!
Kila siku nasikia mara Kibajaji kashikiriwa akitoa rushwa kwa wajumbe wa Uchaguzi katika kura za maoni, mara...
Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu
Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa...
Naam ndugu wajumbe wasaalamu,
Leo imekuwa ni siku ya fanaka kwa chama cha CHADEMA Meatu baada ya kuchukua fomu za ubunge na udiwani kwa mafanikio makubwa.
Kuweka kumbukumbu sawa:Wilaya ya Meatu...
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi...
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea...
Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais.
===
Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya...
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si...
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia...
Kuelekea ushirikiano wa kusimamisha mgombea mmoja wa upinzani napendekeza pawepo na mdahalo wa wagombea ili wapiga kura tuwstathmini.
Wagombea wakuu Tundu Lissu na Bernard Membe na ikiwezekana...
Hatimae ile meli maarufu katika ziwa victoria New MV Victoria hapa kazi tu inanza safari zake hapo siku ya jumapili. Na kwa wakazi wa eneo la Kanda ya Ziwa huu ni ukombozi mkubwa kwa uchumi wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao...
Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.
Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na...
Juma hili hili mtoto wa JPM - Jesca Magu amehamishiwa REA kwenye mishahara mizuri wakati juzi JPM mwenyewe alimsifia Daktari mmoja wa Falsafa aliyekuwa akifanya CCM kuwa alikuwa anapata mshahara...
MGOMBEA WA CHADEMA MH TUNDU ANTIPAS LISU, KAMA HAELEWI!
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nikiwa napitia mitandaoni nimekutana na Twitter ya Mh Lissu ambayo imepambwa na Picha ya Mh Rais Dkt...
Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha...
Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.