Vyama vya siasa nchini vimeliomba Jeshi la Polisi kutenda haki na kutoonyesha kupendelea upande wowote kuelekea kwenye uchaguzi, ili kutunza amani na utulivu.
Kwa upande wake, Chama Cha Mapinduzi...
Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko...
This is very interesting, kwa kweli...
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata...
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa...
Tumeshawasoma kuwa mmempitisha Tundu Lissu agombee ili mpate huruma toka kwa wananchi kwa tukio baya ambalo lilimpata baada ya kushambuliwa na genge la magaidi wanaotumiwa na CHADEMA na hii ni kwa...
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa...
Rashid Hamza Jumbe (Mgombea Ubunge Tanga mjini kupitia ACT wazalendo). Ni miongoni mwa wanasiasa jasiri na shupavu kwa Hoja licha ya wapinzani wake wakimjadili binafsi kuliko utendaji wake wa...
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba...
Ndugu wana jamvi,
Mimi ni mwana CCM tena kindakindaki. Nayaona yafuatayo ndo yatatupa ugumu katika hizi chaguzi na tusipoyaona tutaondolewa madarakani ndani ya chaguzi mbili zjazo.
1. Vijana...
NEC kazi yake ya kwanza ni kutoa fomu kwa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
Wengi wanajiuliza kama hufai kwanini wasiache kukupa fomu?
Jibu rahisi, Kisheria unatakiwa wewe unayeomba ujibu hayo...
Kwenye biashara yoyote usipokuwa makini unaangukia pua na kupata hasara kubwa, lakini si biashara tu tunakosea na kupatia mengi maishani mwetu kuanzia kwenye elimu, siasa, ajira mpaka mahusiano...
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa.
Ameeleza kuwa kitendo...
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba na mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi, leo Agosti 11, 2020, wamechukua fomu zakugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
SAFARINI: TABORA, SHINYANGA, GEITA, SIMIYU, MWANZA, MARA na KAGERA
Ameyasema haya akizungumza na wafuasi, wapenzi na wanachama wa CHADEMA wa majimbo ya uchaguzi ya Igunga na Manonga yaliyo ndani...
Wakati mpaka leo hii nikiwa sipati logic ya mgombea kupata udhamini wa chama cha siasa,kinachonishangaza zaidi ni hili swala la mgombea urais kutakiwa kutafuta wadhamini wa kumdhamini kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.