Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kosa moja la kiufundi linaloweza kufanywa na Kamati Kuu ya CCM (CC) na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na kupelekea jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro ni kumpitisha mgombea ubunge aliyegushi...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mada inahusika. Wapinzani wanalazimika kufanya kampeni za kisayansi sana. Tayari CCM ina mtaji wa NEC, ZEC, Polisi, Wasiri wetu na makada kadhaa. Mfumo wa nchi unawapendelea zaidi wao na ule...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MBWEMBWE ZA MAALIM MWISHO OCTOBER Wanasiasa wote wenye historia Safi ya kushindwa huwa na ushamba Fulani hivi wa kushabikia nyomi la watu. Kuthibitisha hili taenda na mifano hai kabisa tena...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam, The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa. CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka...
16 Reactions
177 Replies
8K Views
Hii labda kwa sababu ya akili yangu mbumbumbu,sina taarifa au picture ya kilichotokea mwaka 2015-2020 perception yake naiona vibaya? Au kwa sababu nimehisi dhamira za wenye nguvu ziko kinyume na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanachama wa vyama vya siasa nchini leo wanaanza kuchukua fomu za uteuzi kuomba kugombea ubunge na udiwani wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. Hivi karibuni Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu TUNDU LISSU achaguliwe na chama chake cha CHADEMA kuwania urais wa Jamhuri ya Tanganyika wamejitokeza waswahel washauri wanaomfuatilia kwa karibu mno na kujaribu kushauri kindezi kabisa ama...
31 Reactions
87 Replies
5K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP), Simon Sirro, amewaonya wanasiasa walioanza kuonyesha shari kupitia matamshi na sura zao kuelekea uchaguzi mkuu. IGP Sirro alizungumzia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
CCM hoyee. Magufuli Safi. Niende kwa Mada moja kwa moja. Mpaka sasa hakuna Raia yeyote yule anayebisha viwango vya Rais Magufuli ni vya kimataifa katutoa from zero hero, Leo watanzania nasi...
7 Reactions
96 Replies
5K Views
Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka. CHADEMA na Tundu Lissu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020. Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa...
16 Reactions
231 Replies
17K Views
Harakati za LISSU alianza zamani sana na ndie alieshinikiza serikali kuheshimu mchango wa wachimbaji wadogo na hadi leo matunda yake yanaonekana. Nakumbuka vema sana hili sakata. Nyumba ya Lissu...
21 Reactions
79 Replies
11K Views
Huu uchaguzi una maana kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Ni uchaguzi unaoenda kui 'define' Tanzania kwa karne moja ijayo. Nchi hii iko katika njia panda, kuna hatma za aina mbili au tatu nchi...
2 Reactions
6 Replies
830 Views
Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM...
15 Reactions
88 Replies
13K Views
Jimbo la Siha Kurejea Upinzani Tena Maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama yanasubiriwa kwa shauku kubwa sana, Kila mwananchi anatamani kusikia jina linalorudi kutoka Dodoma. Leo nitazungumza kuhusu...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu amewaambia wafuasi wake kuwa wasipojipanga sawasawa CCM hawataiweza. Lissu amekiri mbele ya umati wa watu mjini Shelui kwamba CCM ni chama kikubwa na...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa! Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au...
68 Reactions
93 Replies
44K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha ACT kumteua Benard Membe kuwania urais JMT. Huu naweza kuuita ubinafsi japo bado sijafahamu kama kutakua na makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja kwa vyama...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom