Wana Lindi wenzangu habari
Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,
Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU...
Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana...
Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa...
Habari Wana JF na Makada wote Mliopo humu.Huu mwaka 2020 Ni mwaka wa Uchaguzi Ila Kuna Mambo nimeona na Kujifunza nikiwa Kama Mwana CCM.
1.Watu Wengi Waliopo ndani ya CCM hawakipendi Chama kwa...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea...
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura.
Mpigeni...
Wamama wengi uwa wanachagua ccm,
Mama yangu amesitaafu mwaka huu ajalipwa mafao yake mpaka sasa Mimi nimemwambia wazi ni juu ya utawala mbovu uliopo madarakani.
Bibi yangu yeye Kila mwaka...
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametoa changamoto kwa CCM na wadau wengine wa siasa kuwezesha mdahalo baina yake na mgombea urais kwa tiketi ya CCM, mheshimiwa Rais John Magufuli...
Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi,
Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati...
Niwaombe Sana Wasome kutoka Vyuo mbalimbali hapa Nchini , Wanaharakati , Na Wadau wote wa Maendeleo Na wanaoitakia Maendeleo zaidi Nchi yetu kwamba , huu Ni wakati muafaka wa kumfahamu kila...
Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo.
Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya...
Jana nilikuwa kijiwe kimoja hivi cha madalali wa nyumba na viwanja hapa Dar es Salaam.
Watu walikuwa wanajadili kwa kina maswala ya usajili ya vilabu vya simba na Yanga.
Ghafla mada ikabafilika...
Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) David Mwaijojele amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma na kuchukua fomu za kuwania Urais wa Tanzania
Akiwa katika Ofisi za NEC...
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti.
Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa...
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.
"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Ndugu Watanzania hasa wa Dodoma Mjini.
Chama kinachorudi upya kwa kasi NCCR Mageuzi, mgombea wake wa Urais wa JMT Bw Yeremia Kulwa Maganja atachukua fomu leo tarehe 11.08.2020.
Bwa. Maganja...
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50.
Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara.
Hivyo basi...
WanaJF
Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa.
Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.