Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Acha kabisa! Watu wanajipanga na hoja maridhawa. Inaonesha kabisa CCM wataula wa chuya kwa kuzuia ile mikutano. Unajua ni kwa nini nasema hivyo? Ni kwamba watu washaona kuwa kwa muda mrefu wao ni...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Nataka kuwashauri viongozi wakuu wa vyama hivi vya upinzani ambavyo vinaonekana kukikosesha usingizi chama chetu cha CCM upande wa bara na Visiwani.Msikosee hapa kwa tamaa za muda mfupi, kuweni na...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo...
23 Reactions
137 Replies
15K Views
Kati ya Jambo linaloigharimu CCm kila siku Ni kuwekeza kwa Mwenyekiti na dola kuliko kuwekeza kwa wananchi. Wananchi kwa namna Hali ilivyo wanatambua hata ungekuwa na utajiri mkubwa kiasi gani...
13 Reactions
29 Replies
2K Views
Baada ya kumuona Membe amechukua fomu ya Urais leo, nimehitimisha hakuna kuungana Kati ya Chadema na ACT licha ya vyama hivyo kupigia debe suala hili kabla hata ya mchakato wa uchaguzi...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii: 30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wana JF! Ni dhahili kuwa 2020 rushwa ni kigezo kikuu cha kukubalika katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm)! Na hili limelalamikiwa na...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Haya kumekucha Mtangazaji wa kudumu wa taarifa ya habari pale Clouds TV Harrison Kapiga amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Iramba Mashariki.
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu . Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Nina maono ya mbali sana wanabodi. Ninamwona Mh Lissu akiwa na nguvu kubwa ndani na nje ya nchi Namwona akibebwa na wananchi wengi, 1. Wasomi, hawa wanampenda kwakuwa waneuona ukweli na uwazi...
0 Reactions
8 Replies
845 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema CHADEMA imemdhulumu msanii TID kwa kutumia kauli ya "Ni Yeye" bila kumuomba wala kumshirikisha. “Ni Yeye ilikuwa ya Magufuli, wale...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Dodoma, Tanzania MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii...
14 Reactions
20 Replies
3K Views
Cecilia Mwanga, Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia Makini amechukua fomu za uteuzi wa kugombea nafasi hiyo leo Agosti 8, 2020 katika ofisi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
2 Reactions
18 Replies
38K Views
Wasalaam, Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na...
29 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa PolePole taarifa aliyoitoa juzi inaonesha kuwa Uchaguzi wa Mwaka huuu CCM inaenda kufanya kampeni kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa tangu nchi hii ipate uhuru. Swali langu...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Wajinga ni watu wazuri mara mia zaidi, kuliko mtu mpumbavu. Kwanini mjinga... Mjinga ni mzito katika kuelewa na kujifunza jambo. Lakini ukifanya juhudi kidogo za kumuelimisha atakuelewa na kwa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Ilani 2020: ACT-Wazalendo Kujenga Utajiri wa Jamii kupitia Ushirika wa kisasa (Community Wealth Building). Kuongezeka kwa tofauti za kipato huku matajiri wakizidi kunufaika na mifumo ya kiuchumi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Huo ni mtazamo wangu. Watanzania wa leo wana uwezo wa kuchanganua mambo yanayotoka kwenye vinywa vya wanasiasa wakilinganisha na data/ takwimu halisi. Kama CCM inafikiria kumuhofia mtu basi mtu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom