Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya...
Nilikua nafuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa. Kuna maneno yamenifikirisha jambo.
Walijua wameiua Chadema, tuliambiwa humu mitandaoni kuwa Magufuli kaua Upinzani. Mara ooh, Chadema...
*WATANZANIA NI WAELEWA SANA, 2020 TUNACHAGUA MAENDELEO*
Na Emmanuel J. Shilatu
Uchaguzi Mkuu 2020 unazidi kukolea na kupamba moto ambapo kila chama, kila mgombea anajinadi kivyake kwa sera zake...
Kwa Mara nyingi kwa miaka mingi CCM wamekua wakipiga propaganda mfu juu ya VIONGOZi na wagombea wa CHADEMA kuwa ni wa kutoka Kaskazini.
Sasa faida kubwa aliyonayo Tundu Lissu na CHADEMA ni sehemu...
Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake. Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo...
Kuna habari kuwa utaandaliwa mdahalo kabambe kuwakutanisha wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ingawa mpaka sasa hajajulikana nani atakuwa muandazi lakini tunategemea kumfahamu...
1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha.
2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika...
Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha.
Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba...
Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au...
#Uchaguzi2020 Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa na mgombea mwenza Satia Musa, walipowasili hii leo Agosti 7, 2020, kwenye ofisi za NEC wakiwa peku...
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule
Je, wajumbe wametupa...
UCHAGUZI wa mwaka huu unatakuwa ngumu na wenye mvuto mkali. Hii ni sawa na pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu.
Mapambano kama haya yakitokea hulazimisha shughuli zingine zisimame ili kupisha...
Msajili msaidizi wa Vyama vya Siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya...
#Kelv
Magufuli kuwanyima wapinzani wake kufanya siasa kwa miaka mitano iliyopita ni kosa kubwa sana la kimkakati amelifanya na atalijutia hili kwa maisha yake yote.
Yeye tayari ameshawakinai...
Ili kuandaa ilani vyama vinahitaji watalaam waziefu na wenye uelewa wa mahitaji ya Watanzania.. Kinyume cha hapo vyama vitajikuta vinaeleza nadharia na mambo ambayo hayatekezeki au kujikuta...
Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP) Seif Maalim Seif amekuwa wa kwanza kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuchukua fomu ya kuwania Urais kwaajili ya kugombea kiti cha Urais wa...
Mgombea wa Chama cha ADC, Queen Curthbert Sendiga amefika katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7,2020 kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania.
Chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.