Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.
Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.
Kwanini asijikite kuwaeleza...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi...
MAMBO YATAKAYOMRUDISHA JPM OFISINI TR 28 OCTOBER.
Na Elius Ndabila
0768239284
Mh Dkt Magufuli Rais wa JMT jana amechukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani...
Hili ni swali linalofikirisha watu wengi sana kipindi hiki ambapo homa ya Uchaguzi inazidi kupambamoto. Swali hili linakuja baada ya wajumbe wengi wa CCM kuamua kwa maksudi kupuuza makatazo na...
Mgombea wa Chama cha UPDP, Twalib Ibrahim Kadege amefika katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7, 2020 kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania.
Amefika katika...
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Vyama...
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt...
Habari za leo JF experts, Naomba tumchallange mgombea uraisi Lisu maana ni member hapa JF, Mimi ninayo maswali kadhaa kwake.
1; Kwa upepo aliokuja nao, Kuna kila dalili za yeye kushinda ila pia...
Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi.
Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa...
Bernard Membe amekuwa akipitia nyakati mbalimbali za machungu makubwa kwake katika harakati zake za muda mrefu za kuitafuta Ikulu ya Chamwino. Mapigo hayo yamezidi kufifisha ndoto yake hiyo ya...
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama The New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni...
Salaam wanajamvi, Oct 2020 kutakua na uchaguzi mkuu wa kuchagua madiwani, wabunge na Rais wa nchi. Uchaguzi huu ni wa kwanza kwa katibu mkuu na katibu mwenezi toka wateuliwe, ni uchaguzi huu...
Baada ya Vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwapitisha Tundu Lissu na Benard Membe kuwa wagombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, itakuwa vigumu kuwa na mgombea mmoja atakayeungwa...
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya )...
*_Na Sheikh Ponda Issa Ponda_*
Vyama vikuu vya upinzani vinakamilisha michakato muhimu vikijiandaa kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa vyama hivyo lengo kuu ni kuwafariji...
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Dkt. John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninamtakia kila la heri airejeshe tayari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.