Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na...
Habari wakuu?
Ipo hivi kelele zote hizi za upinzani sijui CHADEMA au ACT-Wazalendo pote huko kuna watu wanajua kabisa hiki chama kikiingia madarakani mmoja wapo wagombea wao akapata Urais basi...
Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la Wafanyakazi wa Umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta...
Amani iwe kwenu ndugu wanaJF.
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kukupapope Mr. Lissu kwa madhira uliyoyapata, kwa ujasiri wa kurudi nyumbani (najua mtu mwingine angeogopa kabisa kurudi...
Jana jioni nilikuwa naongea na walimu fulani aisee CCM imepoteza kwao. Nilijaribu kujifanya Mimi ni mwanaCCM nikaimba ngojera ya stiglaz standadgeji vivuko uchumi wa kati flyova nk.
Majibu yao...
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo...
Wajumbe kwa mambo yanavyoonekana hivi sasa na mwenendo wa CCM kujibu hoja za Lissu, nathubutu kusema kama Tume ya Uchaguzi ikitenda haki basi Lissu anaingia Ikulu asubuhi saa nne na pia kama Tume...
Wewe kijana ambaye mwaka wa tano sa hivi toka uhitimu babo una loblob mtaani tu huna kazi. Huu ndio wa kati wa kumeki future yako, huu ni wakati wa kati wakutumia vizuri haki yako ya kikatiba...
Alikua akitembea huku akipepesuka njia nzima mida ya saa tatu usiku.
Alikua akiongea peke yake muda mwingi,lakini kila aliyekutana nae alimshirikisha furaha yake bila kujali anamshirikisha Nani...
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa pande zote mbili, CCM na upinzani, kwa CCM ni uchaguzi wa kufa na kupona, CCM itatumia mbinu zote halali na haramu kuhalalisha ushindi, ikiona...
1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo...
Nasema hivi, shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM, ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA
Wengine siyo washabiki...
Na Shilatu E.J
Mmojawapo wa watarajiwa kugombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuja na kauli mbiu ya "Ni yeye", Mwambieni Watanzania tunajua na tunatambua kuwa ni yeye yeye.
Twende...
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure...
Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa
Lakini kuna Gentlemens' Agreement...
Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na...
Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P),
Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza...
Muheshimiwa Tundu Lissu,
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020.
Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja...
Kila unapofika wakati wa Uchaguzi kama huu, yanasemwa na kufanywa mengi. Moja kati ya maneno yanayosemwa sana ni kugawana/kugawa kura kwenye Uchaguzi. Kauli hii ndiyo imekuwa hoja hata ya kuwataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.