Naomba nitoe ushauri kwa chama tawala. Kwanza nirudie maneno ya Mzee Kinana " Hakuna uchaguzi rahisi". Pili naomba nishauri. Katika mchakato wa kura za maoni wagombea wengi walijitokeza.
Kati ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wafanya biashara wa mazao eneo la Dumila na kuwaahidi kuwapatia shilingi Milioni mia moja kwa ajili ya Ujenzi wa...
Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana...
Habari zenu wakuu.
Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe...
Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo, amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu ya NEC, kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kugombea kiti cha Urais...
Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea...
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama...
Mada inahusika.
Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020.
i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape...
Kuna wana CCM ukiwasikiliza kuhusu huu uchaguzi, unaweza ukadhani akili zao zina matatizo. Nikiwa kama mwana CCM huru na kwa namna nilivowaona wajumbe wa CCM kwa kweli mwaka huu si wakubeza.
Kuna...
Hivi ccm na mwenyekiti wao pamoja na kuteua mkuu wa majeshi, wakuu wa mikoa, ma IGP na viongozi wote majeshi ya ulinzi na idara zake zoote, bado wanawaswasi na uchaguzi.
Ameteua Tume ya Uchaguzi...
Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu...
Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura...
Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa...
Ndugu zangu,
Ukiacha jinsi alivyosimamia rasilimali kwa maslahi ya Watanzania namna alivyolikabili janga la COVID-19 hususani dhidi ya sera dhidi ya WHO na baadhi ya mataifa mengine.
Tukija visa...
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.
Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na...
Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu.
KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA...
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Miaka mitanobiliyopita alikuwepo diwani anaitwa watende wa viti maalum CCM.
Huyu diwani aliwatesa sana wananchi na wakulima wa maeneo hayo kwakusababisha mashamba yao kuporwa na wamasai na...
Kwenye uchaguzi wa 2020 Ni vigumu kusema CCM itashindwa na chama cha upinzani, lakini Vyama vya upinzani vinaweza kupata viti vingi vya ubunge na udiwani kama watamwachia Mh. Membe awe mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.