Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other...
Sio siri wala sio kificho ni kuwa ule mchakato wa vyama ambavyo nia yao kubwa ni kukamata dola wataanza kutongoza wananchi ili wakubalike kwa wanachi utaanza hivi karibuni.
Lakini swali kubwa la...
Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika.
Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT...
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?
Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa...
TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa?
Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya...
Sasa ni Rasmi.
Chama kikuu Cha upinzani nchini CHADEMA kitaanza vikao vyake kwa siku 3 mfululizo kuanzia Jumapili tarehe 2 mpaka Jumanne tarehe 4 katika ukumbi maarufu nchini wa Mlimani City...
Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo la Arumeru.
Joshua Nassari aliwahi kuwa mbunge wa Arumeru kupitia tiketi ya CHADEMA na baadae alivuliwa ubunge na...
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.
Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo...
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri...
Huko nyuma niliwahi kuandika ujio wa Bernard Membe ndani ya ACT na hatma ya coalition au ushirikiano wa vyama vya Siasa. Nilieleza kwamba Membe ameingia ACT-Wazalendo akiwa tayari na uamuzi wa...
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu...
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020
Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally...
Jimbo la Kigamboni ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi katika jiji la Dar es Salaam
Kama mmoja wa watia nia katika Jimbo hili ninakusudia kuchukua FOMU ya kugombea Ubunge katika Jimbo Hili...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vya siasa kuchagua watu makini ili kuepusha migogoro baina yao na Tume, pindi wanapotakiwa kukamilisha mchakato wa kupitisha majina ya wagombea...
Habari wakuu!
Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner.
Hili ninaloliandika si tetesi...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea...
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na...
Na Ghati Chacha
HII sio Chama Cha Mapinduzi(CCM) ninachokijua na kukulia kwa zaidi ya miaka 30. Chama kilichosimama mstari wa mbele katika kuwakomboa wananchi na unyonge wao, Chama kinachosimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.