Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka.
Hata sheria na kanuni zitakucheka.
Maendeleo hayana...
CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali.
CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge...
Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema...
Asalaam aleykum...
Kwanza kabisa niwatakie kheri ya Eid al Hajji ndugu zetu waislamu.
Nimeona kwamba katika uchaguzi unaogarajiwa kufanywa mwezi October 2020 kuna mambo ambayo yanaumiza na...
Waungwana salaam
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu hivyo kila chama kimejiandaa kikamilifu kushiriki. Kwa upande wa ccm ni wazi na bayana kuwa Rais Magufuli atapitishwa kutetea nafasi yake...
Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi...
Aliye kuwa diwani wa kata ya Chala kwa muda wa miaka mitano kwa mwaka 2010 wilayani Rombo mkoani kilimanjaro Clara joseph Gwandu Ameingia katika kashfa na mgogoro mkubwa na wananchi wa vijiji vya...
Wasalaam wanaJF,
Kwa bahati nzuri nimefanikiwa kufuatilia mchakato wa kutafuta wagombea/wawakilishi wa nafasi mbalimbali kwenye vyama mbalimbali kwaajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao...
Si mara moja au mbili namsikia rais Magufuli akikazia kuwa hataki matusi wakati wa kampeni. Nilimsikia wakati anavunja bunge nimemsikia tena leo pale Somanga akiwa njiani kurudi Dar. Magufuli...
Salamu zenu wakuu,
Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.
Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili...
Habari wadau,
Mimi si muumini wa siasa za CHADEMA Ila kwa nchi ilivyo na cheo Cha Urais kilivyo ikitokea upinzani ukachukua nchi ningependa Rais awe Mbowe kwa Sababu ya Busara zake na Hekima...
MCHAKATO wa mchujo kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioomba kugombea udiwani, unaanza leo kwa vikao vya chama hicho vya kata kuwajadili wagombea. Kwa upande wa wagombea ubunge na...
Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi
Posted by NCCR Media | Jul 29, 2020 | Habari Maalumu
Mtoto wa waziri wa fedha wa zamani achukua fomu NCCR-Mageuzi. Siku takribani 90...
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.
Kwa ujumla...
Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mgombea udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Katambi Sospeter amejikuta katika wakati mgumu baada ya kudodosha kibuyu cha...
Hawa hapa
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
Na mwandishi wetu
Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.