Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Asalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM...
Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Polepole
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mh. Polepole ameeleza kuwa hakutakuwa na zoezi la kurudia upigaji wa kura hata kama kuna baadhi ya watia nia...
Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
Ndugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea...
Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama...
Membe anakuja upinzani baada ya kubwagwa 2015. Watu wa aina hii wakikarihishwa juice za chamwino hawakawii kusujudia minazi ya chamwino
Lazaro Nyalandu anajua nini anafanya na hana papara...
Kama unazo kumbukumbu ya jamaa mashuhuri hapa Tanzania kipindi hicho alikwapua mamilioni ya pesa na kutokomea kisha kudakwa na baadae kushinda kesi na sasa yupo kitaa baada ya kaka yake ambaye ni...
Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze...
Takukuru njooni maeneo ya Kitobo, Buyango na Bwanjai maana itafikia hatua tutakosa mgombea mzuri na hapo ndo itakuwa mwanzo wa kulipoteza jimbo.
Wewe daktari wa binadamu mwenye Elimu ya AMO na...
KATIBU MKUU
CHAMA CHA MAPINDUZI,
S. L. P. 50
DODOMA
22/07/2020
Ndugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,
Dkt Bashiru Ally
YAH: UKIUKWAJI WA TARATIBU ZA UCHAGUZI JIMBO LA HANDENI VIJIJINI
Husika...
DHANA YA "MKONO MTUPU HAULAMBWI" YAENDELEA KUONEKANA KATIKA KURA ZA MAONI.
Leo 20:45pm 21/07/2020
Nimeamini aliyevaa kiatu ndie mwenye kujua kiatu kinabana wapi,nimeshiriki katika kura za maoni...
Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi...
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya...
1 Dr Mazima
huyu jamaa anaelimu ndogo yaani ni AMO lakini ni mbinafsi na roho ya ujuha sana nilikula laki mbili yake baada ya wapambe wake watatu walio nifata kwa nyakati tofauti na kunigea kitita...
Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.
---
Muigizaji wa filamu nchini Steven...
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge viti Maalum sita mkoa wa Mara ambao wanadaiwa kuwa ni vinara waliohusika kutoa rushwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.