Sisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali.
Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani.
Mazoea mnayoleta mtayajutia...
Katika historia ya Tanzania mwaka huu tunaenda kuona uchaguzi wa aina yake na uenda Mh Lissu akawa Rais wa Sita wa Tanzania kuna viashiria kadhaa
1. Alishinda urais wa TLS huku serikali ikiwa...
Hatimaye Siku Tuliyoisubiri imewadia Mhe. Mbunge na Naibu Spika Dkt Tulia kachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Mbeya 2020-2025 kilichobakia tunasubiri kuapishwa kwake mjengoni mwezi wa kumi na 11...
Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.
Maendeleo hayana vyama!
Vijana wa Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Dar es Salaam, leo Julai 23, 2020, wamemchukulia na kumkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa chama hicho Profesa...
28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania
"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU
Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa...
Sasa umma wa Tanzania unafahamu kuwa watajwa hapo juu ambao walitia nia kugombea Ubunge kwenye majimbo mbalimbali hapa nchini. Katika kura za maoni zilizoendeshwa hapo jana ndani ya CCM, wote hao...
Chama Cha Wakulima (AAFP) kimewataka wagombea waliokosa nafasi za ubunge na udiwani kwenye vyama vingine vya Siasa kijitokeza kuchukua fomu kupitia chama hicho kwani bado wanazo nafasi nyingi...
Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua...
Watu wanasema kuwa CHADEMA msirudie kosa kama kipindi kile cha Lowasa. Inawezekana kweli ikawa ni kamchezo kanachezwa tena na CCM lakini lolote laweza kutokea. Upepo hubadilikia hewani.
Mtazamo...
Rais Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu mahali ambapo hapastahili kutumia nguvu wakati wa kampeni na uchaguzi wa mwaka huu, huku akiamini kuwa kampeni zote zitafanyika...
Nasikia fununu kuwa Gambo huwenda akachukua fomu kwa tiketi ya CCM kugombea ubunge wa Arusha mjini.
Kwa hali ilivyo nnapata Uhakika 100% sana Gambo hawezi kushinda katika uchaguzi huo, tukumbuke...
Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.
Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.
Manaibu waziri pia woote, yaani wote...
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni...
Paul Makonda amesema haya...
“Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu”...
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa Oktoba utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.
Baada ya Waitara kuongoza...
Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge?
Naomba mwaka huu iwe hivyo
Ni ukweli usiopingika kuwa Raisi JPM kajitahidi sana kuleta maendeleo ya miundombinu kama barabara, madaraja, reli, ndege na viwanja vya ndege n.k.
LAKINI ametumia robo ya nguvu aliyoiweka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.