Mbunge wa jimbo la Kilombero ambaye amehama chama cha CHADEMA na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Lijualikali mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea jimbo hilo...
Na Fundi madirisha,
Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii!
Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni...
Mbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.
===
Prof. Juma Kapuya kama utakuwa...
Hali tete kwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA baada ya kukosa wagombea na kuanza kununua wagombea walioandaliwa na NCCR Mageuzi.
Ikumbukwe hawa ndio wanaojinasibu kila siku wamejiandaa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani...
Mungu hajawahi kutaniwa hata mara moja, wale wote walioaminiwa na wananchi na wakasaliti maelfu ya waliowaamini kwa tamaa ya hela hawatarejea tena bungeni kupitia sanduku la kura, hata chama...
Hatimaye siku tuliyoisubiri wana Rungwe kwa muda mrefu imefika ndugu Comrade Goodluck Mwangomango kuchukua fomu ili awatumikie wana Rungwe 2020-2025.
ANATOSHA JIMBO LA RUNGWE
Kwako mbunge wangu Mh Medard Matogoro Kalemani na waziri kamili wizara ya nishati, kwa niaba ya wanachato wapenda CCM tunakuomba tu upumzike siasa na uwaachie wengine watakao weza kuleta maendeleo...
Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi...
Kwa siku mbili leo na jana CCM kinaendesha mchakato wa kupata wagombea wa nafasi za ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi.
Na taifa zima limeelekeza macho kwenye huu mchakato ili kujua nani ataibuka...
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Chanzo: Tanzania Daima
My...
Wagombea 460 wajitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge Kagera zoezi la uchukuaji fomu lafungwa.
=========
Mchakato wa kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine...
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3...
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kina sera ya kuboresha maisha ya Mtanzania kwa kuhakikisha Mtanzania anakula lishe bora, ili mtu aweze kula kuku mzima na kama anakunywa chai basi aweze kuwa...
Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi.
Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni...
HONGERA RAIS MAGUFULI KWA NEC, MKUTANO MKUU ‘LIVE’
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), tunapongeza uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuruhusu kurushwa moja kwa moja (live) kwenye vyombo vya...
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Mambo pekee niliyoyabaini katika uchaguzi huu wa kura za maoni ni kama yafuatayo:-
Ni mara 100 urudi utaratibu wa zamani wa kila mwanachama wa CCM arudi kupiga kura za maoni. Huu mchakato wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.