Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
5 Reactions
54 Replies
8K Views
Wakuu, habari nyeti kutoka kwenye ukumbi mkubwa zaidi jijini kyela zinadai Lukas Mwanyanda katibu wa CCM wilaya, ameonekana akimwaga madawa ukumbi utakaotumika kwa uchaguzi kesho. Vyanzo viwili...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Leo tarehe 20 Julai 2020, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa ameweka wazi kwa...
7 Reactions
74 Replies
8K Views
19 Julai 2020 Watia Nia CCM Mbeya Wachimbwa Mkwara Mjiandae kisaikolojia, atakayesaliti kutimulia chama, Katibu Uenezi wa CCM Mpya ndugu Humphrey Polepole aongoza jopo kuwafunda Hakuna mtia...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Kutokana na CCM kuweka mazingira mazuri ya kuzuia watia nia kujipitisha pitisha kwa ajili ya kugombea katika Uchaguzi huu na msisitizo wa kutotumika kwa rushwa, imejulikana kuwa kigezo kikubwa...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
======= Abbas Tarimba ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Ananasif, amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
11 Reactions
26 Replies
5K Views
MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja? Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakati joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto wasanii nao hawakubaki nyuma kuignia kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kuwawakilisha wananchi kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Yafuatayo ni baadhi ya mambo mazuri mno ambayo kayafanya raisi wetu mpendwa na kila mpenda maendeleo ambayo ni 1. Kutengeza uhusiano mzuri wa kidiplosia na wanywaranda 2. Kukuza uchumi kwa 7...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Gairo, mwanamama Siriel Mchombe, Jumapili iliyopita alishangaza waumini wa Kanisa la Assemblies of God, kwa Samson, Gairo kufuatia kutoa maneno yenye kuashiria kumpigia debe mtia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Tanzania ipo kwenye kipindi kigumu sana kuelekea uchaguzi mkuu, ni kipindi cha dola kuwa chama cha siasa na chama cha siasa kuwa chama dola zaidi. Naiona hofu ya uchaguzi iliyobebwa na ulimbukeni...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
- Hofu ya Wapinzani kupoteza jimbo - Wivu wa wachache - Hofu za wana mitandao wa muda mrefu Wiki hii na iliyopita habari kubwa inayojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania ni uamuzi wa...
3 Reactions
78 Replies
6K Views
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika. Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
Wakuu, Mwanasiasa maarufu nchini na aliyekuwa diwani wa Sombetini jijini Arusha kupitia CHADEMA Ally Bananga a.k.a Binamu Bananga ametia nia ya kugombea ubunge Arusha mjini kupitia CHADEMA...
14 Reactions
136 Replies
13K Views
TUME YA UCHAGUZI IFANYE HIVYO KWENYE CHAGUZI ZA URAIS, WABUGE NA MADIWANI. Ili kuepuka usumbufu na malalamiko ya kuibwa kwa kura. Ingekuwa vizuri kuwepo na sheria kuwa kura zote zihesabiwe kwa...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom