Wasalaam viongozi wangu taifa!
Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili.
Ninamfahamu kabisa viongozi wangu...
Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao!
Sasa kuna...
Walioshinda kwa kishindo wachunguzwe, majimbo ya Mtwara Vijijini na Nanyumbu. Mbinu ya kuwaandaa vijana maalumu ili wawasaidie wasiojua kusoma na kuandika imewapa ushindi wasiostahili.
Chama Cha...
Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa.
Wengi waliopata...
Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi...
Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo.
Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini...
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama...
Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake.
Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu...
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake...
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020.
Aidha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa...
Wakuu Salaam.
Kwenye bunge la kumi na moja, na ndani ya Serikali ya awamu wa Tano, Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na Baadhi ya Wabunge, Wamehamia Chama cha Mapinduzi, kwa kile walichosema...
Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne.
Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni...
Kumekuwa na uwakilishi wa makundi mbalimbali Bungeni ila hili kundi la wana-diaspora limesahalika kabisa.
Wa-Tanzania hawa wanao litoa jasho lao ughaibuni wana issues zao nyingi tu ambazo...
Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa...
Nauliza hili swali kama raia wa kawaida ambae nimepigwa butwaa na nini kimetokea kwenye matokeo ya kura za maoni za chama tawala nchini Tanzania.
Kila mtu haamimi nini kilitokea Kawe, Kigamboni...
Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya...
Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.