Kuhusu kutenda haki kwa wagombea wote, Dkt. Bashiru amesema:
”Nadhani kama umemsikiliza Mwenyekiti wetu jana wakati anaapisha baadhi ya viongozi, alisema yeye kama mwenyekiti wa chama hana...
Unaweza kusema kesho mtoto hatumwi dukani!
Kura za maoni za kuteuliwa kugombea nafasi za Ubunge ndani ya CCM ni kesho kwa hakika macho na masikio Watanzania yataekekezwa kwenye zoezi hilo muhimu...
Hizi ni zama za teknolojia mambo yanapaswa kwenda kwa haraka.
Mgombea urais wa JMT mh Benard Membe wa ACT Wazalendo leo amerejesha fomu zake baada ya kuzijaza na kudhaminiwa kwa mujibu wa katiba...
Katika hili sakata la kukemea tamaa za madaraka wanalokemewa wanaotaka Ubunge, hasa Makonda na wengine, hawa kina Bashiru na Polepole wamekuwa mbele mno hadi kusema wanayoyasema. Ndo Mwenyekiti...
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae...
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za...
Naona watu wamemchoka Lusinde ! Darasa la 4 muda aliochuma unamtosha. Hizi siyo zama za Mbunge kutukana , kuleta porojo na kuchekesha watu Bungeni badala ya kudeal na mambo yanayowagusa wanaMtera...
Kwa tathimini ya haraka ndugu Aboubakari Abdalah Juma ndiye mgombea amenikonga moyo wangu.
Amenikonga moyo kwa kuonesha yeye ni kiongozi thabiti. Hasa kwa namna alivyoungwa mkono na familia yake...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole ataongea na waandishi wa habari kuanzia saa 10.00 jioni.
Kikubwa ni nidhamu ya kuzingatiwa kwa watia nia ya kugombea Ubunge na udiwani kwa...
Kasi imekuwa ni kubwa mno na wagombea ni wengi kuliko ilivyotarajiwa kwa upande wa CCM.
Ikumbukwe kuwa Mzee Cheyo aliomba mbele ya Mwenyekiti wa CCM kwamba waachiwe majimbo mawili au matatu...
Inasikitisha saana kuona Mh Rais anapinga Rushwa ila Watendaji wake hawana habari ndani ya uchaguzi huu kura za Maoni mkoa wa Mtwara rushwa iko nje nje kila pahala PCCB wapo na vyombo vipo ila...
Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa...
Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.
Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Kulwa Mang'ana, amepata ajali katika eneo la Boman'gombe wilayani Hai wakati akiwa njiani kuelekea wilayani Siha kwa lengo la kuchukua fomu ya kugombea...
U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of...
Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry.
Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo...
Naomba nitangaze maslahi binafsi kwanza! Mimi ni Mzaliwa wa Shinyanga,Wilaya ya Kishapu.
Hivyo ninaumizwa sana na uwakilishi hafifu toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tanzania mwaka 1992...
Membe jana kachukua Form ya kugombea Urais toka kwenye chama Cha ACT. Kwa mbaali namuona ulimi wake ukiteleza akiwa jukwaani na kusema Mambo yasiyoeleweka. Nimkubushe kuwa:-
Sheria ya Usalama wa...
Ni ombi tu kwa wenyeviti wa vyama shirika katika uchaguzi mkuu ambavyo ni Chadema, ACT Wazalendo na Chauma.
Mara ya mwisho kushuhudia mdahalo wa wagombea urais ilikuwa ni 2015 kati ya January...
Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.