Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo...
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ngorongoro Elias Ngorisa amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kuteuliwa kuwania nafasi hiyo ambapo amesema lengo kuu kuwania nafasi hiyo ni kushirikiana...
Inafika wakati unaona kabisa kuna uhusiano mkubwa wa mateso na umaskini wa watanzania na hiki chama cha kijani.
Hiki chama na wanaokishabikia ni laana kwa nchi. Kimewashikia akili baadhi ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa.
Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni...
ASANTENI sana Mbeya kwa mapenzi makubwa kwa chama chetu na kwa kunidhamini. Ilikuwa furaha sana kufanya mazungumzo na Mkt wa
@ChademaTz
Wilaya ya Mbeya, John Mwambigija a.k.a Mzee wa Ipako.
Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA kabla ya kuhamia CCM, Vincent Mashinji amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Jimbo hilo...
Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nawakumbusha wagombea
Msijaze kiholela form za kuomba kugombea
Udiwani
Ubunge
Urais
Form hizo zitachunguzwa kipengele baada ya kipengele.
Kama kuna sehemu huelewi uliza ili usaidiwe maana...
Yule Msanii maarufu wa vichekesho kwa jina Ringo achukua form kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini kwa ticket ya CCM.
=====
Sina cha kusema Mimi JACOB WILLIAM MKWECHE kwa heshima na imani...
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya.
Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3)...
Nimepata kumsikiliza Bernard Membe. Hotuba yake, manuwio na matatajio yake. Lakini pia nimepata kumsikiliza Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif na Kiongozi Zitto Kabwe.
Kuna...
Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na...
Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982).
Pia soma> Uchaguzi 2020 -...
Happiness Essau ALITAKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Bi Happiness Essau akikabidhiwa fomu yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi...
Sijui ni ndoto ama lah ila hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo. Japo lakini mimi sio mpiga ramli. Dr Kimei nimefanya nae kazi alikuwa boss wangu CRDB na Comrade Victor Tesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.