Habibu Mchange achukua Fomu na kurudisha kugombea Ubunge Jimbo lake la Kibaha Mjini asindikizwa na mkewe.
Mungu ni mwema.
======
Leo tarehe 15 Julai 2020, nimechukua, kuijaza na kuirudisha fomu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi-CCM kuwania ubunge jimbo la Kilosa.
Pia soma >...
Mwenyekiti wa UDP mzee Cheyo amesema hakuna chama chochote chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na kwamba Chadema wanajidanganya bure.
Cheyo amesema UDP inamuunga mkono Rais Magufuli katika...
"Mmoja amlima barua mwenzake ili makao makuu waingilie kati" barua imeambatanishwa.
Hali inazidi kuwa tete Wilaya ya Bunda baada ya Viongozi wa CCM wilaya kushutumiana kula rushwa za Mtia Nia...
M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA...
JINA KAMILI NICHOLAUS GEORGE NGASSA
UMRI MIAKA 35
MAHALA PA KUZALIWA HOSPITALI YA WILAYA YA IGUNGA - TABORA
UTAIFA MTANZANIA
JINSIA KIUME
ELIMU
2017 – 2019 Shahada ya Uzamili ya Utawala wa...
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.
Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma...
Muhsein Awadhi Said (Dkt. Cheni) Muigizaji Mkongwe na Mshereheshaji maarufu amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi.
Baada ya zoezi la kuchukua fomu...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha fomu ya kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa baada ya kuzichukua, kuzijaza na kuzirejesha, Julai 15, 2020. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na...
Licha ya Polepole kuwaonya wateuliwa wanaowinda ubunge wa Kigamboni taarifa za ndani zinasema bado Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mheshimiwa Makonda anapitapita kutafuta ubunge Kigamboni.
Kwa sasa...
Umofia Kwenu,
Bila kupoteza muda naomba niseme wazi kwamba kumekua na mtifuano wa chini kwa chini wa nani achukue jimbo la Same magharibi ndani ya CCM potential candidate akiwa Mama Angellah...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
Ndugu EMMANUEL KWAYU, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya dolphin sea and air amejitosa kugombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa likishikiliwa na mwenyekiti wa...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.
Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake...
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha...
RC Makonda achukua fomu Kigamboni
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi.
Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini
Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge.
Kwa kauli...
Aliyewahi kuwa Miss Dodoma miaka ya nyuma ambaye kwa sasa ni mwimbainjili nchini, Eva Evance Philipo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa CCM akiwakilisha wanawake mkoa wa Kagera...
Aliyekua Meya wa jiji la Arusha Gaudence lyimo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha huku akisisitiza Maendeleo ya haraka zaidi
Gaudence Lyimo amewahi kuwa Meya wa Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.