Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la...
Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya...
James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake...
Hatimaye malkia wa nguvu SELLA JASTON MKISI leo ameridhia wito wa wanawake dodoma kumtaka awawakilishe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoa wa dodoma baada ya kumsihi kutokana na harakati zake...
Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine Kairuki akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu...
Bado ninaamini kuwa ili uendelee tunahitaji mambo makuu manne:
1. Ardhi
2. Watu
3. Siasa safi
4. Uongozi Bora.
Kwa mwingi huo,Kira yangu nita mpa mgombea yoyote mwenye kuahidi:
1. Ataweka...
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, leo Jumanne Julai 14, Mwaka 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea Ubunge katika Jimbo la...
Mwenyekiti wa bendi ya African Stars (Twanga Pepeta), Asha Baraka akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
=====
Asha...
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi...
Rasmi leo mwanamuziki wa hip hop ndugu, Webiro Wasira alimaarufu Kwa jina la Wakazi achukua fomu yakuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika Uchaguzi Mkuu...
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Bavicha ambaye alihamia CCM, Getrude Ndibalema amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
===
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa...
Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.
Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi...
MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama chake, amepata kigugumizi kulijibu swali la kwamba hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.