Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara. Madaraka...
13 Reactions
67 Replies
13K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dokta Damas Ndumbaro amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama cha CCM kwa ajili ya kuwania ubunge wa Songea Mjini kwa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Afisa Mwandamizi Usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timoth leo asubuhi katika Ofisi za Chama Cha Mpinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni amechukua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM. ======= Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya?? 1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti...
119 Reactions
280 Replies
23K Views
Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo,Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Philemoni Mollel(Monaban),Meya mstaafu Kalist Lazaro na Mfanyabiashara wa Madini Thomas Munis Ni miongoni mwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa. Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumaini Limbe mkazi wa wilaya ya Sengerema ametumia baiskeli kwenda ofisi za CCM kuchukua fomu kuwania ubunge jimbo la Sengerema huku akieleza kuwa kipato kidogo ndio sababu ya kutumia usafiri huo
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekucha tena. Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya...
3 Reactions
7 Replies
905 Views
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Waziri wa zamani aliyetenguliwa, Jumanne Maghembe, apata ushindani mkali Mwanga Kilimanjaro MNANDI MNANDI, Mtia nia wa ubunge katika jimbo la Mwanga mkoani kilimanjaro, leo amechukua fomu ya...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Zile tetesi zilizo kuwa zina semwa kuhusu huyu Mhandisi wa Kimataifa leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi. Itakumbukwa kwamba jimbo hili lilikuwa chini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu Albert Msando ametangaza nia hiyo muda si mrefu.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kijana Yazidu Msika naye amejitosa kugombea ubunge jimbo la Kilosa Kati akishindana na Profesa Kabudi. Ngoja tuone kama pumzi ya prof itammudu damu changa huyu zao la Kizunguzi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniania (TCRA) ambaye ni Katibu wa Kamati ya Maudhui inayofungia Vyombo vya Habari kwa kukiuka Kanuni za Maudhui mitandaoni, Dkt. Philip...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndani ya CCM mpaka kufikia leo Majimbo ya Mwibara na Siha yanatazamiwa kuwa na kitimtim cha aina yake katika kile kinachotazamiwa kuwa wagombea walioomba ridhaa wote wanaeleweka huko juu. MWIBARA...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom