John Mrema ni mtu mwenye Cheo sawa na cha Humphrey Polepole wa CCM yaani ni mwenezi wa Chama Taifa.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimsema humu JF kuwa yeye ndie amekuwa akiivuruga CHADEMA kwa fitina...
Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kutangaza hivi karibuni mabadiliko ya majina kwa baadhi ya majimbo, huku akisema kuwa inatarajia kutoa ajira kwa watu 390,824 watakaoshiriki usimamizi...
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.
Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua...
Wakuu amani iwe kwenu!
Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia list ya wagombea 65 wanaodaiwa kutia nia kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Rorya. Hii list mara ya kwanza niliipata ikitokea kwa...
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .
Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .
Mungu...
Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa...
Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi...
Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Basil Lema.
" Jimbo la Hai linatizamwa na limekuwa likizungumzwa sana, hivyo Mbowe ndie atakaesimama tena na ameshachukua fomu"...
Wakati tunasubiri kipenga kuanza uchaguzi mkuu, tuliojsliwa kusoma alama za nyakati tunakumbuka Tambo hizi:
1. Sikuchaguliwa ili niongeze mishahara (Rais JPM)
2. Sikuleta tetemeko la ardhi na kwa...
Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya...
Na Tade ole Mushi kada wa CCM.
FACT:- ATAKAYESHINDA KURA ZA MAONI NI MWENYE FEDHA.
Na Thadei Ole Mushi.
Vijana wengi wa CCM wametia nia kwenye maeneo mbalimbali ya kugombea Ubunge. Ni Jambo...
Tuweni wakweli sababu hasa ya Zitto Kabwe kutaka hasa muungano wa vyama vya upinzani ni kwa kuwa muungano huo utawafaidisha zaidi ACT na siyo kwamba ana nia ya dhati kuona upinzani ukifanya...
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali...
Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa...
Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati...
ACT Wazalendo imedhamiria kuona Membe anagombea upinzani iwe kwa tiketi ya umoja wa upinzani (ACT+CHADEMA) au ACT peke yake.
CHADEMA haina mpango na mgombea kutoka nje ina wagombea wa kutosha...
Kwa wananchi wote ambao miaka mitano wameathirika kwa utawala mbovu wa Rais Magufuli na chama chake, ni wakati wa kuungana kumkataa kwenye sanduku la kura!
Hofu kubwa waliyonayo wananchi ni...
"Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa"
Tunapoelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ni vyema tukawakumbusha waliopewa dhamana ya kusimamia zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.