" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha...
UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%)
2. Dkt...
Maji ukiyavulia ngua sharti uyaoge. Huu sio wakati wa upinzani kulialia eti mnaonewa, mnazuiwakufanya mikutano hata ya ndani, eti hakuna demokrasia!! Huu ni wakati wa mapambano sio kulialia...
Ni nani hasa ambaye anaweza kunipa ushahidi wa dhati ambao hata nafsi yake inakiri kuwa ni wa kweli, Kuelekea IKulu ya Tanzania 2020 yupo wa kushindana na Magufuli? Hakika kama yupo anaweza...
Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa.
Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi...
Kipindi kinachohusu somo hilo hapo juu kinarushwa muda huu na katika mahojiano yao wametoa mfano wa Jimbo la Rorya kuwa na Watia nia zaidi ya 60.
Mimi nijikite kwenye ongezeko la watia nia...
Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni...
Habari wanajamvi
Katika kithibitisha mwitikio wa dhati kwa maono na uongozi wa chama cha mapinduzi CCM chini ya uongozi wa m/kiti Dk. John Magufuli wa kutoa fursa kwa vijana kushika nafasi...
Naona huyu Mhe. kweli kadhamiria, na hii picha ya hili gari ndio ushahidi wenyewe.Tukumbuke hapa yeye bado ni mti nia tu na sio mgombea rasimi
Nampa hongera kwa ubunifu na kuonyesha mfano kwa...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19...
Henry Kilewo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kichama Kinondoni pia ni Katibu wa Dar es salaam Kuu, Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa.
Hapa akikabidhi fomu yake kwa Katibu wa Wilaya Mh...
Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii
==
John Mrema ni Mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema
Wana JF,
Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka...
Daniel Naftali alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la KWELA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Daniel Naftali.
Huyu kijana alinyang'anywa ubunge 2015 kwa mtutu wa bunduki. Kila mwananchi wa jimbo lake...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu Bernard Membe katika harakati zake za kuutafuta Urais wa JMT. Kwa sasa nimefanikiwa kung’amua sifa zake tano (5) ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.