Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

USHINDI MKUBWA WA RAIS JOHN MAGUFULI, UTATOKA KWA WANYONGE NA WANANCHI WA KAWAIDA KABISA. Leo 13:45pm 09/07/2020 Niseme wazi ya kwamba,Silaha kubwa ya Rais John Pombe Magufuli ni wananchi tena...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM Leo tarehe 8 July 2020. Aliyekuwa mkuu wa mikoa ya Arusha, Mwanza na Mara ametangaza nia ya kuwania Ubunge jimbo la Kibamba ambapo yeye kwa sasa...
6 Reactions
80 Replies
10K Views
Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Aliekuwa Mbunge wa CCM kutokea Jimbo la Mufindi Kusini Ndugu Mendrad Kigola amezuiwa na uongozi wa Chama cha Mapinduzi katika wilaya ya Mufindi kugawa Baiskeli alizozileta katika ofisi ya CCM...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM)...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika Bunge lililomalizika 2015/2020 wabunge wa CCM mkoa wa mara wale wajimbo na hata viti maalum hakuna yoyote kati yao aliyejenga hoja ya mshiko na muonekano unaonekana ni hao hao ndio tena...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya...
36 Reactions
113 Replies
11K Views
Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kipindi cha nyuma tulipozungumzia ubunge tulipata picha ya mtu fulani mwenye umri mkubwa pamoja na hela za kutosha. Wabunge wengi walichaguliwa kwa sababu ya kununua kura kutoka kwa wapiga kura...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibuni Mwanasiasa BM amekuwa akitumia uwingi pale anapoeleza azma au nia yake kwa jamii. Mara kadhaa amesikika akitumia maneno kama vile Tutagombea, Tutachukua fomu, Tutashinda, nk. Watu...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Hata kama hakutatokea Vyama vya Upinzani vikashinda lakini kutakuwa na faida kubwa sana kati ya hawa wawili wakipewa kipaumbele cha kugombea Urais hapa nchini. Kwangu mimi wote wakigombea ni sawa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Saa Tisa alasiri kutakuwa na hardtalk mahojiano ya moja kwa moja kati ya Tido Mhando na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally kupitia Azam TV. ======= BASHIRU: Ajenda kubwa(Mkutano wa CCM Dodoma)...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya...
28 Reactions
169 Replies
17K Views
Kila awamu ilifanya mema na mabaya. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa katika awamu yake yako mema amefanya na yako mabaya amefanya pia. Akashauri kuwa unachukua mema unayandeleza mabaya...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati umoja wa vya vyama vya upinzani (UKAWA) vikiwa katika mchakato wa kutafuta mgombea watakaemuunga mkono wote kwa pamoja ili awawakilishe katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, ghafla palizuka agenda...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
" Mimi nimezaliwa Kisarawe lakini Ilala pia ni nyumbani kwa baba yangu, nimeamua kugombea hapa Ilala kwa sababu ninaijua vizuri, nimeona nisimpe presha mdogo wangu Selemani Jafo, na kusema kweli...
22 Reactions
60 Replies
9K Views
Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi. Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu Wasalaam! Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha...
20 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom