Wakili Gaspar Mwanalyela amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia Chadema ambapo moja ya vipaumbele vyake amesema atafumua mfumo wa elimu nchini na kusuka upya sambamba na kuahidi...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na...
Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni.
Hatua hii inalenga...
Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi...
Benard Membe ameweka wazi kuwa ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumkubalia agombee ,basi yuko tayari kupeperusha bendera.
Hili litakua kosa kubwa, usaliti wa hali ya juu na dhambi isiyo...
WISTON MOGHA AJITOSA KWENYE UBUNGE KIGOMA MJINI (Kigoma Tuitakayo)
Na Mwandishi wetu
Ally Mahmoud
Wiston Mogha amesema ameamua kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kugundua kero nyingi katika...
Yule mbunge pekee anayewakilisha wanyama na binadamu, ambaye pia amesimikwa kuwa msemaji rasmi wa Mkoa wa Morogoro, Joseph Haule amechukua tena fomu ya kuomba ridhaa hiyo.
Ninakusudia kuchukua fomu ya Kugombea Ubunge. Safari hii ni Kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa CCM Jimbo la Buyungu itawasaidia Wana CCM wa...
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua...
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.
Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji...
Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Magufuli wakati ikipambana kuhakikisha nchi inakua kiuchumi kuna baadhi ya viongozi wa ovyo wao akili zao wanawazia nafasi za uongozi wao. Ni tarehe...
Ni aibu kubwa kama chadema ikamsimamisha Membe agombee kutokana na matukio ya kina Lowasa na Sumaye waliyofanya.
Nitakuwa mjinga wa ajabu napanga foleni kupigia kura chadema na mgombea ni...
Habar wadau
Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa
Kwanini nasema CHADEMA...
Katika siasa za nchi yetu sasa ina makundi matatu
Kundi la kwanza ni la Watangazania,Wapinzania na Wagombania.
Watangazania Wamejaa sana CCM hasa baada ya Mwenyekiti kusema kwamba ukikosa ubunge...
Wanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi...
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki...
Wanajamvi,
Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu...
WATIA NIA WENGI CCM WAMESHAKOSA SIFA ZA KUTEULIWA.
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Twende na Kanuni ya 35 ya Kanuni za uchaguzi wa Ccm za 2017.
Kwanza katika kanuni hizi ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.