TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. John Mnyika ametoa wito kwa kila mwanachama wa Chadema mwenye sifa za kuteuliwa kugombea...
Yaani Uchaguzi ukikarbia shamrashamra nyingi; mara fulani katia nia mara Membe Mara nguvu ya umma itaamua, yaani ni balaa huku na kule kila thread ukifungua ni siasa tu na buku 7 pia hawachoki...
Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na...
Hapo vip!!
Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha.
Ni wazi kwasasa mkoa huu...
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama...
Wakuu Wasalaam!
Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha...
Lakini ukisema mimi ni mtumishi wa Bwana sitaiba kura! Tena, ni mchungaji sitawafitini kondoo.
Na zaidi nina hofu ya Mungu sitaendekeza uroho wangu wa vyeo!
Kwa hiyo nitakuwa mwaminifu mpaka...
MAJIBU YANGU KWA MASWALI KUMI NILIYOULIZWA,BAADA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOROGORO MJINI.
Leo 11:45am 05/07/2020
Rejea maswali haya na mwisho nitayatolea majibu,moja...
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe...
Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?"
East Africa Radio
My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau.
Maendeleo hayana vyama!
Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako...
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.
Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa...
Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida.
Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI
2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo...
Habari wakuu!
Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa...
Siasa ni sayansi.
Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.
Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge...
Kesho, Jumatatu, Julai 6, 2020 Rais Magufuli anatarajiwa kutangaza kujaza nafasi za baadhi ya mashirika ya umma na taasisi kwa vigogo walioandika barua za kuacha nafasi zao ili wakagombee ubunge...
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.
Usahihi na umakini...
Ndugu zangu,
Zitto sasa anaonekana ni mwanasiasa anayesikiliza tumbo lake na sio wafuasi wake wala falsafa alizowahi kuaminisha kuwa yeye ni muumini wa "siasa za kijamaa".
"Ajizi nyumba ya njaa"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.