MIMI LESLIE OSCAR MBENA NINAYEJULIKANA PIA KAMA MSEMAKWELI CHAKUBANGA, NATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOROGORO MJINI.
Leo 20:30pm 02/07/2020
Imani yangu kwa Rais John Pombe...
" HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
1. Watumishi...
Kutokana na maongezi ya vigogo wa chama fulani kuvujishwa mitandaoni kwa siku za karibuni huku wahusika wakipeta utadhani hawajavunja sheria, nawashauri sana kuepuka kujadili mipango yenu yoyote...
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni...
" Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine "...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na maofisa wa Jeshi...
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini...
Wapo wana CCM walioamua kuichafua CCM Mwaka 2015 kisa ni maslahi yao binafsi (sio kufuta upepo wa Lowassa) yaani waliamua kufanya fitina ili CCM ianguke ingawa CCM haikunga ili survive...
Wakuu habari!
Niende moja kwa moja kwenye mada.ujumbe huu umfikie rais Joseph magufuri.
Katika uchaguzi huu magufuri atashinda kwa asilimia nyingi sana kwani mengi amefanya aliyoyahahidi kipindi...
Hello Wana JF,
Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992!
Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.
Na kwa mantiki hiyo...
Hakika TLP kumenoga,
Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP,
Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki,
Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao,
Awaomba...
Team salaam!
Safari ya TLP kuelekea Oktoba 2020 imepamba moto kwelikweli,
Leo chama chetu kimepokea tena Mgombea Wa Ubunge toka Same Magh Mhe. Mch Michael Msigati,
Hotuba za Uchaguzi na Ilani zinaandaliwa kwa umakini wa hali ya juu.
Nimechungulia ya Chama kimoja - wameshindwa kukosoa asilimia 18 tu yaliyowekwa kwenye Ilani ya CCM inayomalizika yameshindwa...
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio...
Hili jimbo kwa ujumla ni gumu kupata mwakilishi sahihi kwa upande wa Chama chetu Tawala.
Ni jimbo liko mjini, lina wapiga kura wataalazi sababu ya literacy level iko juu, na linachangamoto nyingi...
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA...
Jana Mwenyekiti wa ZEC amefutilia mbali majimbo 4 ya Unguja kutokana na kuingiliana Kwa kata Kati ya Jimbo moja na jingine
Ikumbukwe mwaka 2015 yalitokea malalamiko mengi baada ya majimbo hayo...
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la Serikali la kuvunjwa kwa Bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Wilson Mahera...
Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.
Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.