Leo tarehe 19/06/2020, nikiwa imara kimwili, kiakili na kifikra nilipata wasaa maalumu wa kumdhamini mwombaji wa nafasi ya URAIS kupitia chama chetu #CCM Mh Dkt John Pombe Joseph Magufuli...
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.
Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu...
Gazeti la the Citizen lina ripoti kuwa kampuni ya Ms Ren-Form CC ndio imeshinda tenda ya bilioni 14.4 baada ya kuishinda kampuni ya kutoka Dubai.
Gazeti hilo linadai kuwa pia NEC hawajakubali au...
Naomba kujua gharama za fomu kwa wale wote wanaotaman kugombea kupitia CCM wanatakiwa kulipia kiasi gani Cha fomu. Yaani ngazi ya Udiwani na Ubunge (Urais najua ni 1 Million)
Asanteni.
Mwandishi John Marwa akamatwa na kunyimwa dhamana ya polisi kwa kumchafua naibu waziri Mwita Waitara
- Ni katika malumbano ya kisiasa katika kundi la whatsapp la jambo Tarime
- *Mpelelezi wake...
Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo...
Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya...
Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa.
Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama...
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza...
Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.
CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya...
Wakati joto la Uchaguzi likizidi kupamba moto hapa nchini nafasi ya ubunge jimbo la Arusha mjini ndani ya CCM imegeuka kaa la moto baada ya vigogo kadhaa kupigana vikumbo.
Baadhi ya vigogo hao ni...
Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni.
Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia...
Nikiwa katika mitaa Fulani karibu na ofisi ya chama Fulani cha Upinzani(jina kapuni) kulizuka mabishano makubwa yaliyoambatana na swali " Je, upizani utafurukuta uchaguzi huu kama ilivyokuwa...
habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Nionavyo Mimi Maalim Seif ajaribu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu hizi
1: Amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...
Wananchi wa Monduli wanamuomba Waziri Mkuu Mstaafu agombee Ubunge ili arudie uwakilishi wake
Wana Monduli inaonekana bila Lowassa hawawezi kusonga mbele
Mzee atakubali?
Tusubiri atasemaje
Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards"
Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana...
Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo;
1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili...
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back...
Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake, ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.