Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

The Magufuli regime in #Tanzania “knows they cannot win on an equal political playing field ... They use any means necessary, including violence, to try to silence the opposition. This is a clear...
40 Reactions
186 Replies
14K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, inawashikilia watu wanne, akiwamo mtia nia wa nafasi ya ubunge, Ally Chinumba (CCM), kwa madai ya kuwashawishi wajumbe wa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Chama cha NCCR-Mageuzi leo tarehe 27 June kinakutana na watia nia wake wa Ubunge katika majimbo yote Tanzania. Kikao hicho kinafanyika Dodoma na kina malengo ya kuwajengea uwezo na uelewa watia...
6 Reactions
85 Replies
7K Views
Katibu wa siasa na sekretarieti wa CCM kanali Lubinga amesema mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya CCM utakutana July 11 na 12 kupitisha jina la mgombea Urais wa JMT Dkt. Magufuli na mgombea Urais...
8 Reactions
80 Replies
7K Views
CCM itachakazwa na kugaragazwa kama mbwa koko. Mipango yote imekamilika. Kwanza tutadukua ujinga wake wote, sasa wako uchi wa mnyama. Pili mipango kabambe tulishaimaliza, sasa vyama washirika wa...
24 Reactions
69 Replies
5K Views
Bado nafikiria kuhusu hekaya ya Mh Rais kuhusu Mwananzila. Kila mtendaji wa Serikali ninayemfikiria angeliisaidia Sana CC M pale Bungeni kujenga hoja na kunusuru zile mbao za madesk ya binge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya...
62 Reactions
259 Replies
21K Views
Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona. NUKUU "Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge...
11 Reactions
172 Replies
15K Views
Ni mada ya kuuliza tu maana tangu Aguswe baada ya vile vikao swala la kugombea ama kuwania kiti cha uraisi naona kama zimeyeyuka. Mh. Membe muda ndio huu watu wanachukua fomu za ugombea nawe kama...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii? “Mimi natangaza nia ya kwenda...
30 Reactions
114 Replies
10K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekutana leo Ijumaa, Juni 26, 2020, Jijini Dar Es...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Chini ya ufundi makini wa Dkt. Tulia Akson naambiwa kuwa huu mjengo upo katika hatua za mwisho. Fundi mkuu ni Tulia huku akiwa na wasaidizi kadhaa. Ama kwa hakika zaidi ni kuwa Mbeya mmempata mtu...
28 Reactions
130 Replies
13K Views
Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Ameandika tena Tundu Lissu Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais. Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili...
43 Reactions
211 Replies
13K Views
Kwa kweli huwa sielewi kwa nini kila mtu afikirie kwenda kugombea kwao tena kwa watu maarufu na ambao wanajidai kua wamefanya mambo makubwa. Naibu Spika wa Bunge la Tanzania anarudi kwenda...
2 Reactions
5 Replies
980 Views
Tunakaribia kufika mwezi wa kumi na ni mwezi ambao Watanzania tunakwenda kuchagua wawakilishi wa Wananchi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa upande wa Rais ni wazi kuwa tayari...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Muandaji muziki maarufu Joachim Marunda Kimaryo (Master J) ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Rombo akiwa kwenye mahojiano katika redio ya Clouds FM kwenye kipindi cha XXL. Master J...
12 Reactions
92 Replies
14K Views
Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
Back
Top Bottom