Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu.
Je, mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down
Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee...
Uliyekuwa Mbunge wa Monduli tunakupa ONYO, Acha kugombanisha taasisi za serikali na viongozi wa wilaya ya Monduli.
Umekuwa ukipiga simu Takukuru wilayani monduli nakuwalazimisha kwenda kukamata...
Wana ukumbi habari zenu,
Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu.
Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa...
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala...
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Rashid Mwinshehe maarufu kama "Kingwendu" amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa...
Pamoja na Kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya kuwataka viongozi wa kuteuliwa kuridhika na vyeo vyao , lakini taarifa za leo kutoka EA TV zinadokeza kwamba Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndugu Richard Kasesela...
"Serikali inayoogopa watu, serikali inayoishi kwa uongo haiwezi kushinda kura. Na mimi niwaambie na hiyo meseji iwafikie, uchaguzi huu tunaenda hakuna wa kujitoa. Uchaguzi huu tunaenda, tunajua...
Nikitazama mwenendo wa kampeni za ndani kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA ] ambako kuna Wagombea wengi, unaona wazi kuwa Mgombea Lazaro Nyalandu amejipanga zaidi kiakili na uwezo...
Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya...
Niende tu kwenye point moja kwa moja!
Kama Mwanasiasa huna hela na una nia thabiti ya kusaidia jimbo lako na unaishi jimboni kiasi kwamba kila mtu anakuona je? Utumie mbinu gani ili ushinde...
Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa...
Kuna kitu kisheria kinaitwa convincing evidence. Huu ni ushahidi ambao unatumiwa kuthibitisha hasa kwenye kesi za madai,mfano mtu unamdai mtu alafu anakataa kukulipa wewe unaedai lazima uishawishi...
Habari wana JF
Leo wakati Rais Magufuli akivunja bunge, katika hali inayoonyesha hofu ya kutojiamini kuelekea Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, ametadharisha kuwa watakokuwa wanatoa matusi...
Niseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana CCM Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee
Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga
Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura
Bila...
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere...
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana.
Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha...
Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza.
Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya...
Hicho ndicho kilio cha wana Morogoro mjini walio wengi. Wanalalamika uwakilishi usiokata kiu ya maendeleo ya wakaazi wa Jimbo hilo. Wasomi na wasio wasomi, hii inajumuisha pia...
Habari wana Jf,
Thread hii ni maalum ya kupeana updates za watu waliochukua form za nia ya kugombea nyadhifa tofauti tofauti nchini kuelekea uchaguzi mkuu #2020.
1) Dr. John Pombe Magufuli (Form...
Wanajamvi salama?
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa
Nilizozipata asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.