Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Umuofia kwenu! Kuuliza ni kujifunza, hatutajua kitu ila kwa kuhoji na kudadisi. Naombeni nanyi mlione hili: Tangu dirisha limefunguliwa, so far tumeshuhudia vyama viwili tu ulingoni, CCM na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020, Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Msanii wa kizazi kipya na mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo , rasmi ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga Dar es Salaam kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020. Wakazi ambaye...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho. Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Aliandikaga SeriaJr TW tukio la 15/6/2013 watu wanadhani mh Freeman Mbowe ni awamu hii tu tunapomwita mwamba tunamaanisha Naomba radhi kwa picha hii ya tarehe 15 Juni 2013 eneo la Soweto -...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa. Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake. Wiki ya pili sasa anatuamsha...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo. 1.John heche. Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini; Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the...
2 Reactions
78 Replies
4K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo. Kwa sababu kwa lugha...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda ...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
SERA zetu NCCR-MAGEUZI kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020 Chama cha NCCR-MAGEUZI kinajivunia kufanya siasa za kizalendo, tunajivunia Itikadi yetu ya UTU. Ambayo moja ya mambo muhimu ya itikadi ya UTU ni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Kheri James katika Mkoa wa Arusha ,imekuwa na manufaa makubwa kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm Mkoa waliopo kwenye kata baada ya kigogo mmoja anayewania...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika uchunguzi uliofanyika hivi kari buni katika chama kinachoongozwa na Dkt. Magufuli imeonyesha wale wenye elimu za chini watatupiliwa mbali katika mchakato wa kuania ubunge kwa tiketi ya ccm...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda...
7 Reactions
40 Replies
7K Views
Mpaka sasa CHADEMA ina watia nia watano kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye ushindani huu; namuona Tundu Lissu akishindana kwa ukaribu zaidi na...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo. Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa...
33 Reactions
64 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom