Nimefanya utafiti wangu binafsi ndani jimbo la Tarime Vijijini, jimbo hili linaenda kurudi Chadema chini ya kamanda John Heche, kama haitawezekana basi watamtanganza mbunge wa ccm kibabe, hali...
Ni kweli hatuna Tume Huru na bila shaka ni kweli kuna hujuma zinapangwa (naona hata Lema kagusia hili la hujuma kupitia Twitter) ila pamoja na yote haya, plan waliyonayo na wasioweka wazi ni...
Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani...
Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani...
Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye.
1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni...
Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb
eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini...
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha...
Siasa haina rafiki wa kudumu,Ila ina maslahi ya kudumu.
Ni mkakati wa Ccm kumrudisha Dk. Kebwe jimbo LA Serengeti. Morogoro ilikuwa mbali kujijenga kwa wanachama,pia ile sera ya chama ya mtu...
Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu.
1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar...
"Wabunge hawa walishaamua kujitenga na CUF- Chama cha Wananchi na hawajawahi kutoa Ushirikiano kwa CUF tangu muda huo na CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi...
Disclaimer;
Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani...
Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais...
Licha ya Mrisho Gambo kuenguliwa nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Arusha,jambo hilo limeonyesha kutomtikisa hata kidogo kwani kwa sasa ndio kwanza ameendelea kujidhatiti kwa kuendesha vikao vya kujijenga...
Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM.
Anasema...
Upepo unaonesha kwamba chadema wanaweza wasipate hata mbunge lakini watakacho kipanda kwa watanzania kitakuwa kikubwa sana .
Mtu anaekuweka moyoni ni wa maana sana kuliko mnafiki anaekuchekea...
Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na...
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua...
Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.