Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe:
1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya...
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu...
Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo.
Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi.
Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi...
MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU
UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka.
Siku ya Uchaguzi ukiiweka...
Mwanamuziki Rajab Abdul, maarufu Harmonize ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kupendekeza...
Ninapata taabu kidogo kuelewa falsafa ya CHADEMA katika hili. Miaka yote ya nyuma hadi uchaguzi mkuu wa chama cha CHADEMA uliofanyika mwaka Jana, ulionyesha kwamba, kiongozi mmoja anayeaminika na...
Ilani ya uchaguzi itakayochochea ukuaji wa uchumi kwa wote na kuongezea serikali kodi ndio inafaa.
Vyama vya Siasa inatakiwa vije na Ilani na Mipango ambayo inampa Mtanzania Uhuru wa kuchagua ni...
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.
Sijui...
Umuofia kwenu,
Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua...
Hatujapata serikali inayotaka maendeleo bali tumetaka serikali kwa kutatua kero ndogondogo.
Elimu ya Cheti tu bado haijasaidia kutatua changamoto zetu.
Utawala usioendana na sauti za wananchi...
Tunayo mambo mengi tu ya Muungano lakini suala la Uraisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar siyo mojawapo.
Hivi sasa Chama cha Mapinduzi kiko busy kutafuta Mgombea Uraisi wa Zanzibar, katika...
Wakuu salamu za heri kwenu.
Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.
Asanteni.
Mheshimiwa Bilal.
Popote ulipo, bado wapo Watanzania tunaokukumbuka kwa utumishi wako makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Elimu yako haina Chembe ya shaka, wewe ni mtaalamu wa Physics ya...
wana JF
Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela...
Heshima kwenu wanajamvi,
Leo nimeona ni vyema na haki tukawajadili wagombea nafasi ya Rais wa JMT kutokea chama cha CDM.
Nadhani nianze na Mheshimiwa Lissu si kwa bahati mbaya la hasha, nimeanza...
Kwa tunaye mfahamu kijana huyu tuna kila sababu ya kujivunia tunda hili adhimu lililozaliwa na kukulia katika bonde oevu, Bonde la Kilombero, Mkoani Morogoro.
Victor Makinda ni...
Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP).
Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020...
Ingependeza zaidi ingekuwa mwaka wa uchaguzi inapita kura ya maoni kwa wananchi ili kutoa mawazo na mapendekezo ya ama kufanyike au kutofanyika uchaguzi.
Zoezi la uchaguzi linaendana na gharama...
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.