Majimbo mengi yana wabunge ambao wapo kwa miaka mingi na wengine hata 10. Lakini hakuna alama yeyote ya kazi zao zaidi ya zile zilizofanywa na serikali pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kufanya...
Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata...
TAMBUA MIPANGO KABAMBE KATIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA OCTOBER 2020
GACHUMA APANGA SAFU YA VIONGOZI MARA
Ndugu wana ccm wenzangu naomba kuleta kwenu taarifa ya masikitiko iliyotufikia kutoka Mkoa...
Hiki kitendo cha Mh Tundu Lissu kuja na kampaini ya kuchangisha pesa za kumuwezesha katika mchakato wa kugombea Urais ninakiona kama ni kitendo cha aibu na cha kihuni kabisa.
Haiwezekani kutia...
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali...
Habari zenu wakuu poleni na miangaiko ya huku na kule kutafuta chochote.
Niende moja kwa moja kwenye Hoja.
Kama ilivyokawaida na kanuni na taratibu bila kusahau katiba yetu inavyosema, baada ya...
Salam wakuu,
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambapo kutakuwa na Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na kila Chama kinatazamiwa kusimamisha mgombea/wagombea katika nafasi hizo za uongozi...
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni...
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini...
Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi
Nimejaribu kufanya observation...
Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi.
Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni.
Orodha ya...
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1. Lissu
2. Msigwa
3. Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati...
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.
Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha...
Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya...
MCHAKATO WA UCHAGUZI MAJIMBONI 2020
HATUA YA KWANZA
-Kuchukua fomu (Kimyakimya bila mbwembwe)
-Kujaza Fomu
-Kurudisha fomu
-Kujadiliwa na kamati ya siasa wilaya (Wanatoa maoni kwa kila Mgombea...
Zoezi la uhakiki wa taarifa za mpiga wapiga kura wapya linafanyika sehemu mbalimbali Tanzania.
Zoezi hili kinakwenda taratibu kana kwamba hatuna mifumo inayoweza kurahisha kazi na badala yake...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kuweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa siku 4 kuanzia Juni 17 mpaka Juni 20 katika vituo vilivyotumika wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu...
CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.
Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama.
Huku...
Wakuu wa mikoa ya Tanzania Bara huteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa sasa ni jemedari shupavu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na kwa upande wa Zanzibar Rais...
VIDEO Courtesy: CHADEMA
Lazaro Nyalandu 2020
Mabibi na Mabwana,
Ndugu Wanahabari,
Leo natangaza rasmi azma yangu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.