Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo...
NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020.
Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM...
Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.
Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za...
Amani iwe nanyi,
Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu.
Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni...
Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020...
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba.
Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia...
Bahati nzuri au mbaya flyovers, ujenzi wa barabara pana, ndege, na meli havijafika huku kwetu Nanjilinji hivyo sio rahisi watu kupiga kura kwa kushawishiwa na vitu Kama hivyo. Wao bado wanasubiri...
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.
Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala...
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi...
Habari wadau,
Kwa jinsi Mambo yanavyo endelea Tanzania. Ni wazi watu wengi na Taasisi nyingi zilikua zinasubiri nan waanzishe mada ili wao wasapoti.
Baada ya Wabunge wa TANZANIA kuweka wazi...
Wasalaam,
Katika kumbukumbu zangu nimekutana na gazeti la Mawio liliochapishwa Alhamisi,Januari 1-2015
Ukurasa wa tano nimekutana na habari iliyonifanya niipitie tena kuisoma baada yakusoma...
Nyalandu atajwa kumvaa Lissu urais CHADEMA
Joto la kuwania kupeperusha bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Urais, limezidi kupanda baada ya...
Eti makamanda mfano wewe ndio MBOWE au Zitto au viongozi wengine wote wa upinzani kwenye kampeni mtawaambia Nini wananchi ili wawachague Tena?
Maana sera zote muhimu Rais Magufuli amesha zifanyia...
Miezi michache mwaka huu Nchi yetu inaingia Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Sioni mgombea wa kufua Dafu kwenye kinyang'anyiro cha Rais zaidi ya mgombea kutoka Chama Tawala Dr...
Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo.
Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama...
1. Tundu Lissu umetangaza nia ya kugombea Urais lakini hukuweka wazi nia yako ya kuutaka Urais, badala yake umeanza na kampeni ya kusema mengi unayodhani Rais Magufuli amekosea.
2. Hujaweka wazi...
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo Kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa Twitter Ametangaza katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Uamuzi huo ameutoa wakati akijibu...
Nimeshangazwa sana na huu msimamo wa wana Kilombero kwamba ubunge wanakwenda na Aboubakary Asenga na kwamba Lijualikali arudie kazi yake ya kupanga vitabu Kanisani.
Wandamba kweli makauzu pamoja...
Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.