Niseme tu kuwa sijatumwa na mtu yeyote kuleta uzi huu hapa Jamii forum ila ni utashi wangu binafsi kwa namna vile namfahamuatajwa happy just.
Kibondo Kama Jimbo muhimu la uchaguzi katika mkoa wa...
Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lissu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe.
Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lissu mahakamani ndipo wajitoe...
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?
Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze...
Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*"
Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa...
Niliwahi kuandika kuhusu nia ya Lissu kuutaka Urais wa Tanzania 2020. Huenda
chama chake kikampitisha 2020 badala ya Msigwa. Huyu ni msomi mzuri, ni mwanaharakati na ni mpinzani haswa haswa. Kwa...
Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania...
Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa.
Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify...
Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na...
Ni kawaida mtu anayeomba kuwa Mwakilishi wa watu hutumia lugha ya ushawishi kwa lengo la kutafuta imani toka kwa watu anaotaka kuwaongoza. Huu ndio uhalisia kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu...
Wana CCM wengi sana wanatamani kwa mtizamo wao ghushi na uliojaa ugoto katika kufikiri, kuwa John Magufuli asipingwe na mgombea toka CHADEMA. Wao wanadai kwa aliyoyafanya Magufuli kama Rais wa...
Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari.
=====
TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA...
Yes Serikali ya CCM imeshindwa kushawishi umma uwe upande wao zaidi wamefanya ukosoaji kama ni matusi. Rejea Spika Ndugai alipotoa maoni wakati mbunge Lema akichangia kwenye mswada wa kumiliki...
Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma Karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu...
Habarini wadau...
Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020...
Binafsi naamini wapinzani, wakiwemo CHADEMA, wanaelewa vizuri sana kuwa kwa wao kutangazwa washindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu haitokuwa jambo jepesi na litakuwa ni jambo gumu kuliko...
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi
Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa...
Habari za wakati huu,
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania.
Mbatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.