Ukweli bado Ni mchungu, Chadema bado tishio uchaguzi mkuu. Kuna dalili kuu nyingi kwamba CCM wanaingiwa hofu kwa jina la Chadema.
Viongozi wa Chadema hawaruhusiwi kuongea na wakiongea utawasikia...
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na...
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Taarifa za chini ya kapeti zinasema...
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.
Ikumbukwe 2015...
Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho .
- Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa
Mwandishi wetu, Siha
Mkakati wa kumvua madaraka...
Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera...
Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya.
Chadema msitishike kabisa mnaenda kushinda mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso...
To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in...
Amani iwe kwenu !
Natumai wote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yangu.
Kama kawaida yangu kazi yangu ni kuangalia na kuonya ivyo Leo napenda niseme kwa macho yangu naona CCM anapambana...
Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje...
Mimi ni mwanaccm asili, sijajiunga Jana au juzi kwa mihemko bali niko hapa kabla hata ya muundo wa vyama vingi.
Ni vizuri kusema ukweli tukielekea uchaguzi mkuu 2020, ile habari ya kutegemea...
CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa
Ipo hivi
Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda...
Dunia haijasahau ya Zanzibar 2015; Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019; Kosa la tatu ni kadi nyekundu.
Watanzania wengi wetu tuna maisha magumu sana baada ya pesa makusanyo kwenda miradi ya...
Mitandaoni kila mtanzania anasema lake.
Vyama navyo kila kimoja kinayo maoni yake.
Mazimgira uchaguzi nayo ni mjadala wakujitegemea hasa eneo la tume huru ili watanzania wawe na uhakika wa kura...
Sina hakika kama kutakuwa msamiati mpya. Kuna maneno yamekuwa adimu sana kuyasikia kwenye zile insha za kusifu na kuabudu.
Maneno haya yamekuwa adimu kwakweli ajira, ongezeko la mishahara na...
Tulisikia "maigizo" ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, akieleza kuwa safari hii kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, hawataruhusu hata kidogo watoa rushwa wenye nia...
Taarifa ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndg. Ado Shaibu, leo tarehe 02 Juni 2020.
Chama cha ACT Wazalendo kinasikitishwa na kupinga vikali mwenendo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha...
Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr...
Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi.
Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.