Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutangaza muda wa kuanza kampeni kwa vyama vyote vya sasa, kwa nafasi zote za zinazogombewa katika uchaguzi mkuu, unaotarajiwa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kesho inaanza siku tatu za lala salama kwenye zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Uwekaji wazi wa Daftari la Awali Tanzania Zanzibar na Mikoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Taarifa iliyotolewa kwa wabunge wote wa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpaka sasa chama hiki ndiyo kikubwa zaidi miongoni mwa vyama vya upinzani. Kwa wanaokumbuka uchaguzi wa 2010 ulionesha umuhimu wa chama hiki kuwa na kituo chake cha television kitakachooneshwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Tabora, imewaonya wanasiasa wote wanaofanya Kampeni kabla ya muda wa kisheria waache mara moja kufanya kampeni na kutoa Rushwa kwani...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
6 Replies
926 Views
Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa...
24 Reactions
102 Replies
9K Views
Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Kama kweli chadema na ACT waligoma kwenye uchaguz wa wenye vit wa mitaa sababu ya kuminywa kwa haki na demokrasia Basi hata uchaguz mkuu nategemea watagoma Ila ikitokea wameshirik Basi itakua...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi. Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi nilikopa milioni 14 mara ya mwisho kucheki nilikuta deni limefika milioni 26 miaka kama miwili imepita. Magufuli alipofuta madeni ya road licence nilikuwa na pickup yangu ambayo niliipaki...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Vita ya ubunge katika jimbo la Arusha mjini ndani ya chàma tawala imezidi kunoga na kuchukua sura mpya mara baada ya kuibuka suala la na kutoana kafara huku baadhi ya wafuasi wa CCM wakitumika...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Tumebakisha miezi mitano ya uchaguzi. Muda haupo upande wenu, wananchi tunangoja kwa hamu kuona mnatuletea mgombea bora, makini, mzalendo, mweledi na anayeweza kurekebisha makosa makubwa mno...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama tunavyofahamu kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na kama ilivyo katika chaguzi zilizopita, hali ya hewa huwa inaanza kujulikana mapema kwa kuzingatia mambo mbalimbali, kwa kuanzia na...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru...
1 Reactions
13 Replies
818 Views
Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa...
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020. Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya...
18 Reactions
102 Replies
6K Views
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Asalam aleykum JFs Hivyo ndivyo tunaweza kusema kuwa pumzi sasa ndani ya ccm na serikali yake imekata. Iko tayari kukubali yaishe. Katika moja ya habari inayosambaa mitandaoni kupitia Tv online...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo. Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama. Kumbuka yesu...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom