ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT...
Baada ya misukoko mikubwa iliyoikumba Chadema tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni dhairi sasa chama hiki kinafikia mwisho enzi kama hali itaendelea kama ilivyo na kama walivyojiapisha...
MBUNGE CHARLES MWIJAGE HUU NI MWISHO WAKO
Ukipanda bangi huwezi kutegemea kuvuna mchicha hii ni kauli ambayo inawatesa wananchi wa jimbo la Muleba Kaskazini baada ya kumchagua Mwijage kama mbunge...
Pamoja kuwa chama kikuu cha upanzani kiko katika hari mbaya sana kwa sasa ni kama mtu anapumulia mashine ya ugonjwa wa Korona katika chumba cha wagonjwa mauti uti lakini kinahistoria za ajabu...
Mbatia v/s mrema nani zaidi?
Mrema na Mbatia wanafanya siasa zinafanana na wanatoka jimbo moja la vunjo
Mrema na Mbatia lengo lao sio kushika dola,lengo lao ni kuwa vyama vya upinzani maisha yao...
Chadema ❎
Habari wana jamvi!
Katazo la Mbowe linaonekana kugonga mwamba na kuleta mpasuko mkubwa ndani ya CHADEMA baada ya baadhi ya wabunge wachadema kukataa kile kilichoitwa ukandamizwaji wa...
Kwanza tuombe Mungu hii homa isitufikie.
Pili Ulaya wameshaanza kuzungumzia baadhi ya match kuchezwa bila mashabiki kwa hofu ya kuambukizwa hii homa.
Kwa jinsi ninavyoona kitakuwa kisingizio...
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo anadaiwa kuandaa wazee wa mila ya kimasai maarufu kama Laigwanan ili waweze kumwomba agombee ubunge katika jimbo la Arusha Mjini...
Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea...
Habari wanaJF
Itakapofika October 2020 nchi itajihusisha na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
kwa upande wa CCM kama katiba yao unavyojinadi kwamba...
Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale...
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS.
Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za...
Hivi sasa ni kawaida kusoma au kusikia maoni ya wana-CCM kuwa wapinzani katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu hawatapata chochote huku wakiwalenga zaidi CHADEMA na kwa kiasi fulani...
Wana bodi habari za jioni,
Nimetafakari mienendo ya kiutawala ya Rais Magufuli naona ukombozi toka kwa minyiroro ya CCM sasa imewadia.
Kama vile FARAO alivyopewa mapigo mbalimbali awaachie wana...
Ni Kama tumekubali matokeo ya October 2020
Kuna dhana ya muda mrefu ya kwamba kimya kingi kimebeba mengi..Kimya kingi kinaweza kua kimebeba uoga,ujasiri,usiri,unyonge au hata umakini hafifu was...
Kada zamani wa Chama cha Mapinduzi Benard Membe ameibuka tena na kuzungumzia masuala ya kikanda na kimataifa.
Leo amenukuliwa ni mitandao mbalimbali ukiwemo Jamii Forums akieleza kuwa Tanzania...
Katika Mambo ambayo yana uzunisha moja ni la Upinzan wa Tanzania kuamua kutafuta wadhamin ili Wawa weke madarakan badala ya kujenga urafik na wananch wenye dhamana na nch hii.
Upinzan wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.