Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika...
CCM Jimbo la Mbeya wameanza kushikana uchawi mapema, wakituhumiana kusalitiana.
Jimbo la Mbeya linasiasa zake za tofauti, Dkt. Tulia hata kama atashinda kwa kutumia Dola, naamini ataongoza Jimbo...
Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua...
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu...
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere -...
Wakati ikijulikana wazi mwezi wa nne viwanda vya sukari vitasimamisha uzalishaji kulitokea uhaba mkubwa wa sukari ambao ulisababisha bei kupanda pamoja na juhudi za serikali ikiwa ni pamoja na...
Ninapenda tumia muda huu kukushukuru Mzee wangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya watu watanzania kwa safari ndefu ya miaka mitano kutuongoza wa Tanzania hasa ktk kipindi kigumu chakubadilisha fikra...
Akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya UJERUMANI aliyekuwa mwanaCCM MWENZETU mh. Benard Camillius Membe anatapatapa kwa kujinasibu kuwa na WENZAKE SITA. Akihofia kutowataja majina kwa kuogopa...
Heshima kwenu Ndugu wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020.
Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa.
Mosi ni Tume huru ya...
Kwa kifupi kabisa ni kwamba tunakwenda kwenye Uchaguzi ambao mshindi tayari anajulikana. Ninasema haya kwasababu zifuatazo.
1. Kukubalika kwa Rais Magufuli kwa watanzania walio wengi (hili liko...
Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa, Abdallah Bulembo, amesema taratibu haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli.
“Kwa mujibu wa sheria kama wewe ni mwana...
Zaidi ya Mara moja Rais Maghufuli amesikika akilalamikia ugumu wa kazi ya Urais. Kinachoshangaza sasa, kitisho cha Membe kutia nia ya hiyo nafasi kumesababisha yafuatayo:
1. Membe kufukuzwa/...
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amesema tarehe 24 Julai atatangaza jimbo atakalogombea Ubunge kwani kwa sasa kipyenga ndani ya chama bado hakijapulizwa.
Dkt. Tulia Ackson amekuwa akihusishwa na...
A wao wanajua ila wanataka kutumia Kampeni kujikusanyia pesa za mafao. Kiuhalisia ni wanasiasa makanjanja maana wanafahamu hawatarudi Bungeni na bado wanataka kugombea Urais na Ubunge.
1. F. Mbowe...
NYALANDU: Chadema tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana
Mtia nia wa kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lazaro Nyalandu...
Katika kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tanzania tunapoelekea Uchaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu...
Habar Wana CCM,
Kama mnavyojua Chadema na ACT walikua waneshupalia watu wafungiwe ndan wakati wa Corona so hii ni fimbo nzuri kwao ya kuwapiga kwenye kampeni.
Mnatakiwa mfanye hivi CCM
Sambazen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.