Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwanza kabisa sifikiri kama Tanzania kwa mwaka huu kwenye nafasi ya urais upinzani utashidwa. Pamoja na ukweli kwamba Magufuli kafanya zaidi ya Kikwete kwenye kipindi chake cha kwanza lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuelekeaa uchaguzi mkuu 2020, kama mtanzania wa leo, nimekuwa pia nikifuatilia harakati hizi na kwa nionavyo huu hapa ndiyo ulio ukweli mchungu: Pana watu wamejivika kuwa washauri wa upande wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni mwaka wa uchaguzi na ningependa nishauri mambo machache kama mdau mkubwa wa siasa za Tanzania 1. Mtu yeyote ana haki ya kikatiba kuwania nafasi katika Jamhuri na sio kwamba nafasi hizo ni...
1 Reactions
2 Replies
723 Views
Niwasalimie watu wa Mungu mlioko humu na pia nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kutufikisha kwenye uchumi wa kati hongera sana ingawa bado huku street tumepigika haswa. Hakuna halimashauri katika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi...
9 Reactions
99 Replies
7K Views
TANZANIA VISIWANI(ZANZIBAR) Ninauona uchaguzi ukiwa mwepesi Sana kwa upande wa Maalim Seif, Haijarishi atapata mpinzani wa Aina gani kutoka Chama chochote tofauti na anachogombea. Pia kutangazwa...
1 Reactions
2 Replies
869 Views
Miongoni mwa majimbo katika mkoa wa DSM Jimbo la Kibamba ambalo lipo katika wilaya mpya ya Ubungo limetendewa haki na ilani ya CCM licha ya kuwa chini ya mbunge wa upinzania John Mnyika lakini...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno. Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya...
5 Reactions
243 Replies
25K Views
Nianze kwa kusema nina mashaka na Uzi huu kuondolewa kwani kuna hisia kuwa kwa sasa Mhariri (mod) wa jukwaa la siasa JF anafanyia Nazi zake Lumumba. Hivyo chochote wasichokipenda wao hapo basi...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Kujiandikisha kupiga kura ni jambo moja na kupiga kura ni jambo la pili na siku ya kura ni wazi sio wote wanakuwa eneo waliojiandikisha au watakaokwenda kupiga kura. Naona kuna haja ya siku ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi. ====...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais Sababu ni hizi; Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Chama makini siku zote huwa kinawajali wananchi waliokipigia kura na kuwaweka madarakani. Hii ni kw a sababu huu ni mkataba kati ya wapiga kura na wale waliochaguliwa. CCM baada ya kuchaguliwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Tafsiri ya neno demokrasia ni kiongozi aliyechaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki kwa ajili ya kuwatumikia watu Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli katika ziara yake akiwa huko...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi. Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakurungwa tuwe tu wakweli na tuseme uwazi. CHADEMA isitegemee kupata Rais , Wabunge wala Madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu 2020. Na hata vyama vingine vya upinzani wasitegemee katika hilo...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Mwaka 2015 Chadema iliazima mgombea kutoka chama tawala ikitarajia kushinda kwa kishindo, matokeo yake wote tunayafahamu waliangukia pua. Baadaye mgombea huyo aliwatelekeza na kurudi nyumbani...
0 Reactions
8 Replies
815 Views
PAZIA la kuchukua na kurejesha fomu za kuwania urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), limefungwa rasmi jana jioni. Sasa wagombea 31 wanasubiri mchujo wa vikao vya chama hicho tawala...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom