Nina sitajabishwa na Mambo yanaoendelea CHADEMA pale mwenyekiti wa chama na baadhi ya wajumbe wenye CV nyepesi Kama mchungaji Peter Msigwa na wao kuchukua form ya urais ili kupata ridhaa ya...
Mtia nia nafasi ya Urais Dkt. Mayrose Kavura, akikabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema Munisi, Leo Jumanne 07/07/2020, Makao...
Hii inawahusu wagombea wote, katika ngazi zote kutoka vyama vyote (Vya upinzani na CCM).
Nawauliza hivi: Je, mmejipangaje na figusu figisu endapo zitajitokeza katika zoezi zima la uchukuaji...
Muziki ni kitu kinachotumika kuamsha hisia za wengi na kuandaa akili kwa ajili ya kupokea ujumbe fulani. Wakati mwingine kutokana na ushawishi wa muziki tu, mtu huamua kuchagua hata kifo badala ya...
Bernard Kamillius Membe waziri wa zamani wa Mambo ya nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ndani ya chama cha Mapinduzi CCM...
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa...
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu...
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu na asiyeweza kujifunza kutokana na makosa yaliyopita mathalan hawezi kujifunza lolote huko mbeleni. Misemo hii si ya kuipuuzia hasa katika mwenendo wetu wa siasa...
Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini...
Kawe, Dar es Salaam
Toka Gwajima atangaze nia yake ya kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Kawe kumeibuka wimbi kubwa la vijana wa Chadema na upinzani kwa ujumla kupinga na...
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na...
KIJANA huyu kwa Mara ya mwisho nilikuwa naye pale UDSM. Kipindi hicho wote tulikuwa wanafunzi. Mimi nikiwa engineering, yeye akiwa social sciences.
Kipindi fulani alikuwa anafanyia uchambuzi...
*KURA ZA MAONI CCM-RORYA: HUENDA UKAWA NI WA UKABILA/UTARAFA DHIDI YA RUSHWA*
na Mwl. Chacha Matete
Idara ya Elimu ya Ufundi - MUST
Moja ya ahadi za mwana TANU ambazo mwana CCM anapaswa...
Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM...
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
1. Ajira - Hivi inawezekanaje taifa kubwa kiuchumi inashindwa kuajiri watoto wake angalau hata ajira mpya za kiutumishi walau hata 20000.noma sana maumivu yapo wanafunzi hawana tena mwamko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.